Rais John Magufuli amezindua Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere na kubainisha kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutawala milele kwa kuwa hakina mbadala.
Akizungumza leo Jumatatu...
Leo mida ya jioni nilitoka kutembea tembea kama sehemu ya kunyoosha miguu. Safari yangu ikaishia kwenye lile daraja la ubungo, nikapanda kwa juu nikawa nimesimama huku nikiwaza mawili matatu...
Sikiliza story ya binti Wakontha Kapunda, ambae alipata ajali mbaya siku ya graduation yake ya kidato cha sita, iliyopelekea kupata ulemavu wa miguu na mikono, hali ambayo ilibadili kabisa maisha...
Wana jamvi nawasalimu nataraji wazima wote kama sio ugumu wa maisha bilashaka kila mmoja ana pambana nayo.
Wakuu bila kumumnya maneno ninachouliza ni kwanini obama alivokuja tanzania aje kinyemela...
Nilikuwa najaribu kujiunga tigo vifurushi vya chuo kwa namba ile ya *148*00# naona ile menyu ya university offer haipo
Sijui kwenye bando itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
A great man once said if you
take all the money in the world and distribute them equally among people
after a while all the -monies will go back to their original owners. Why?
The poor are
mainly...
Wadau mambo vipi?
Naomba kuuliza jambo juu ya swala la pombe mimi sijawahi kunywa pombe ila kila siku huwa natamani kujaribu kunywa ila kinachoniogopesha sijui nita react vipi baada ya kulewa...
Manispaa ya Songea imetoa mapendekezo ya rasimu ya sheria ndogo ndogo yakiwemo tozo za shilingi laki nne kwa mwaka kwa taasisi za kidini, na mchango wa shilingi elfu kumi kwa mwaka kwa kila...
NOTE: Ndugu mchangiaji mada. Kama ni mara yako ya kwanza kuja katika uzi huu, jaribu fuatilia ulikoanzia. Aidha, usisahau kwanza kuisoma mada na kuielewa awali ya yote ndiposa kubofya like kwenye...
Naam jioni njema
Let me go straight to the point. Hili suala limekuwa likinitatiza sana kwa kipindi kirefu.
Jambo hilo ni uchawi ama ulozi hususani katika idara ya usafiri. Je, ni kweli wachawi...
Sikujua nn kinatokea tz kisa kombe la dunia
niambia machache nijuze nawe
nimeambiwa haya
DEGE LA KAKA MKUBWA KUWASILI
KIFO CHA MKE WA KIBONGE
KIFO CHA MTOTO WA BABA WA4
MWIGULU KUMPISHA KANGE...
Image copyrightREUTERS
Image captionMamba wakubwa na wadogo wote waliuawa
Kundi la wanakijiji limewaua karibu mamba 300 kwenye makao ya wamyama katika mkoa wa West Papua nchini Indonesia.
Muuaji...
Ndugu wa familia tatu wanalituhumu Jeshi la Polisi kwa kuwaua vijana wao watatu wakiwa mikononi mwao.
Ndugu hao wamewataja vijana hao kuwa ni Ismail Linyembe, Twahiri Saidi na Iddy Said, ambao...
Ninapojaribu kutuma pesa kutoka Tigopesa kwenda Barclays bank huwa nashindwa, hivi ni kwanini Barclays bank haipo orodha ya Tigopesa, japo wenyewe wanajinasibu kwamba wapo, msaada tafadhali. Ona...
Kuna siri gani iliyojificha juu ya mkono huu wa kushoto, ukipokea kitu au kumpa mtu kitu chochote kwa mkono wa kushoto inaonekana ni kukosa nidham, hata kusalimiana huhitaji mkono wa kulia, Je...
Mkutano wa marais Trump na Putin mjini Helsinki Finnland unafuatiliwa na viongozi wengi duniani lakini hasa barani Ulaya ambako Trump anaangaliwa kama mshirika wakutoaminika kufuatia misimamo yake...
Habari wadau wa JF
Najitokeza kuomba msaada wa clearance ya package yangu iliyofika Dsm JKNIA tangu tar 12/05/2018.Muuzaji alisafirisha kupitia hawa jamaa wa fedex na Nimeshawasiliana nao na...
Mh. Kangi Lugora yawezekana tukafika kwenye hatua ya kupumzika kutuma rambirambi kuhusiana na ajali za barabarani lakini kufika hapo mlima wa kupanda slope yake ni balaa. There's a very steep...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.