WARNING: Watendeeni mema Wafanyakazi/Walinzi Wenu Wanaowalindia Mali Mapema haya Yasijekukutokea

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Binadamu Tuna mtindo wa Kuwadharau watu fulani ambao kwa Hali ya Kawaida Ni watu Muhimu na Most Dangerous katika Maisha Yetu just In a snap of A Finger anakushusha Chini.

Walinzi wa Majumbani mwetu(Wafanyakazi wa ndani) na Walinzi wa Mali zetu hasa Maduka kwa hapa Tanzania ni watu ambao Kuna baadhi ya Matajiri(waajiri) wanawadharau sana hawa watu na Wanafikia Hatua Ya Kuwapunguzia Mshahara au Kuwacheleweshea au Kuwalipa Kitu Tofauti na Pesa ,mfano kuwanunulia Nguo na Kiwaambia Ndo Mshahara wao Huo

Tukianza Na Wafanyakazi wa Ndani

1. Kuna Video Clips Mbalimbali za Mitandao ya Kijamii za Wafanyakazi wakiwapiga Watoto wa Maboss wao. Hizi Video Usidhani kwamba Wale Wafanyakazi wanawapiga Hao Watoto kwa bahati mbaya ,ukikaa Chini na Ukafikiria Utakuja Kugundua Kuwa Kuna Kitu behind the Scene kwa Huyo Mfanyakazi anachofanyiwa Na Boss wake kinachopelekea Huyo Mfanyakazi kulipiza Kisasi kwa Mtoto maana Mzazi ndio ataumia zaidi . Nimeshuhudia Wafanyakazi wa ndani wakionewa sana na Maboss wao hasa Mama Mwenye Nyumba Inafikia Hatua nasema Hivi Huyu Mfanyakazi siku moja Akiamua Kuwawekea Sumu hawa Watoto wa Boss au Familia nzima Atakuwa Amekosea Kweli ,maana Mfanyakazi apumziki Yeye ni kazi Masaa 15-20 kwa Siku na Watoto juu na Mwisho wa Siku anaambulia Matusi kwa Boss ,

Mfanyakazi unakuta Yeye ameshaamka Asubhi Amehudumia Kuanzia Watoto...Chai ya Mzee na Mama... Ameenda Kukamua Maziwa... amechemsha ... Ameshaweka mezani, vyombo vinamsubiri , mama mwenye Nyumba Hata Hajigusi kabisa yeye Ni kutoa Amri tu mbona vile ni Vichafu ... Huku mezani hupaoni... Kuna Wageni wanakuja Umeshasafisha Chumba Chao... Mtoto wa watu Nafanywa Punda ndani likizo hakuna ,akisema Amechoka Anaambiwa Acha Kazi na Hapo hajalipwa Mshahara wake Wa Miezi Miwili nyuma anaamua Akae tu avumilie. Unakuta Ni Mtoto wa Kike() ana Matamanio ya Mwili Anahitaji kukutana na Mwanaume wa kumliwaza hapewe haki yake ya Likizo . Una Watoto wako wa Kiume hapo Ndani Hivi unategemea Huyo Mfanyakazi kwanini asibebe mwanao wa Kiume Amweke Kwenye kikojoleo chake hata Kimguse Tu Afurahi .. kama Ndo umetegesha Kamera Yako ya CCTV tegemea Matokeo ya Kumnyima Likizo.

2. Tuje kwa Walinzi wa Mali Zetu

We unaishi Mtaa A unafanya Biashara zako Mtaa B. Unaenda na Kurudi Nyumbani lakini unahitaji mlinzi wa Mali zako Either awe wa Kampuni au Laah ila Wengi tunapenda Wale wanaotambulika yaani wa Kampuni ya Ulinzi.. sasa Wafanyabiashara wengi naona Hawajui kuishi na Walinzi wao vizuri hasa wakishajua Eti Wametoa Pesa Kwenye Kampuni... Tanzania watu wake ni maskini usitegeme Kuna Watu watakuja Kwa Lengo moja Peke yake eti anatoa Uhai wake kisa Mali zako Thubutu........ Hawa Walinzi kaeni nao vizur makampuni mengi ya Ulinzi Mnapoingia nayo mikataba Yanawalipa Hela Ndogo Hawa Walinzi Tofauti na Uliyoipa Kampuni.. sas Inapotokea Mlinzi anayelinda mali zako Analipwa Kidogo na Wewe mwenye mali unamleta Ujuaji utakiona Cha Moto,

Nimeshakaa na Mlinzi mmoja amabye huwa analinda kwangu ni Hivi hawa jamaa wanaona Mengi na Wasio waaminifu ndo wanashirikiana na Waalifu kwa Kuwaambia Kabisa Kaibeni pale na Pale ,maana Wale maboss huwa wanoko sana na Hawalipi pesa....... Ukiingia Asubhi unakuta Duka Linakucheka

Hii ni Warning Usijifanye Mjuaji Ishi na Watu Vizuri umekuja Mjini Leo Ni Boss kesho unaweza Kuwa Mfanyakazi kwa Mtu...
 
Ila kuhusu walinzi wanapata shida sana,mshahara wanacheleweshwa kupewa halafu usiku mali ya mamilioni mtu anapewa kirungu.
 
Kwa maisha yangu bado sijafika level za kua na mlinzi acha niongelee wasaidizi wa ndani!
Nimeishi nao toka nikiwa chini ya wazazi na sasa nina kwangu naishi nao.
Hawa watu ukiwatreat vizuri kama ndugu bila kuwanyanyapaa n all that wanakuchukulia boya. Wataanza kunyanyua mabega na kua kiburi.
Ukisema umsaidie majukumu yake kdg nae apumzike mf. Kufua, bustani au usafi kesho na kesho kutwa anajisahau anajua ni kazi yako!!!
Ukimpa uhuru wa kuangalia TV muda wowote utatoka asbh na kurudi jioni nyumba uikute chafu kama ulivyoiacha. Mtoto utakuta na manguo yaleyale na pampers haijabadilishwa dada yuko kwenye TV.
Ukisema umpe uhuru wa kupika na kupanga menu kwasabu ni msimamizi wa nyumba ndo utaumia... Uchumi wenyewe huu umebana. Yani anapika kingiiiiiiii anaishia kumwaga, utashangaa familia ya watu watatu mchele kilo 10 wiki umeisha .
KWA KIFUPI: Hawa watu lazima umuwekee terms and conditions za kuishi na umjengee hali ya kujua yeye ni nani ndani ya nyumba .Atimize wajibu wake na wewe kama bosi umtimizie haki zake kama mshahara, afya, malazi, chakula (kama mlivyokubaliana) na hii isi affect mipaka ya boss na mtumishi.
Otherwise wengine naturally wana roho mbaya sio mpka awe mistreated na boss
 
Nimekupenda nisign niwe houseboy wako
 
Umenena vyema Meghan.
 
Kwa jinsi ulivoeleza, nadhani utakuwa unamlipa laki 6 dada wa kazi! Yaani kazi zote hizo ni za mfanyakazi aisee! Mi kwa jinsi nilivolelewa dada wa kazi ni msaidizi tu wa kazi na sio mfanyakazi wa kazi zote!

Mi nakumbuka home kwa wazee hakukuwa na tofauti yoyote baina yangu na dada wa kazi maana kazi zote tulikuwa tukizifanya sawa kwa sawa kuanzia kuosha vyombo kufagia, kuteka maji na kila kitu!. Home kwetu hakukuwa na kazi za mfanyakazi bali kazi zote zilikuwa ni za watu wote hadi mama.

Nimestaajabu sana unavosema UNAMSAIDIA kazi dada wa nyumbani! Mi nilidhani unatimiza jukumu lako la kawaida tu lkn ww unasema unamsaidia!!! Yaani unamaanisha kazi zote za nyumbani ni za dada wa kazi!! Kweli ukoloni bado upo, mshahara wenyewe siajabu unamlipa elfu 80 tu!

Halafu dada wa kazi ni kama mtoto tu wa nyumbani na anahitaji uangalizi wa kila kitu. Ukimuacha bila kumpangia kaz ni kwel utakuta anaangalia tv. Wengi wao akili zao wanategemea kutumwa na sio wao wenyewe kujituma. Ishi nao kwa akili na hekima
 
Kumbe unajua kiswahili mkuu? Vipi ndoa yako na mumeo Prince Harry mnaenda vyema sio?
 
Niwe namlipa laki 6 au 80 sidhani kama ni jambo la kukusumbua wewe usie nijua!!!
Kwa maisha ya sasa baba kazini na mama kazini unategemea nirudi saa 2 usiku nianze kudeki au kufua????
Kazi anazofanya uki compare na mshahara ninao mpa mbali na incentives nyingine anaweza akuzidi hata wewe.... Sasa kama wewe ukirudi we unakata kitunguu ye anakaanga sio formula kua lazima wote tufate!!
After all mada inaongea jinsi ya kuwa treat na sio tunawalipa nini!!! FYI unaweza mlipa hata laki 2 na bado ukawa una mmistreat..... Issue ni yeye kuridhika na mazingira ya kazi na uishi nae vizuri baaaaas.
Kuna kazi basic sana ambazo msaidizi wa ndani lazima afanye mf. Usafi ndani, kufua, bustani etc kupika unaweza msaidia ukiwa unamwelekeza how you want your meals prepared na hata kufua anaweza afue za watoto mama unafua zako na za ba mjengo.
Na hiyo haimaanishi kua ntafanya kila siku,kuna wakati nasafiri kuna wakati nachoka inabidi afanye yeyé.
At the end of the day is how you TREAT them that is most paramount to you and your family; coz ukimtreat vibaya anaweza hata asiweke sumu au asi abuse watoto ila akawa anatemea mate, jasho kny chakula. Ana fungulia maji yanamwagika weeeeeee au anapika chakula anamwaga etc .
 
Huwezi kufanya kazi ya ulinzi ukiwa na akili timamu yaani ulinde mali ya mamilioni ya fedha mwezi mzima manyanyaso kibao mwisho wa mwezi unalipwa Tsh 150000
 
Back
Top Bottom