Kamanda Mohammed Mpinga wa jeshi la Polisi Tanzania

Dogo G

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,052
Reaction score
440
Habari wanajukwaa,

Nimewaza ghafla tuu na picha yake kunijia akilini ya huyu kamishna wa jeshi la polisi wa mkoani mbeya maana sijamsikia kitambo kuzungumza kutokana na matukio yanayotokea mkoani mbeya hivi karibuni mfano,ajali hizi zinazotokea,je,amehamishwa mkoa wa mbeya au cheo kimepanda ama ni miongoni mwa waliopunguzwa nyota?

Ufafanuzi please,
FB_IMG_15306213181388364.jpg
 
Habari wanajukwaa,

Nimewaza ghafla tuu na picha yake kunijia akilini ya huyu kamishna wa jeshi la polisi wa mkoani mbeya maana sijamsikia kitambo kuzungumza kutokana na matukio yanayotokea mkoani mbeya hivi karibuni mfano,ajali hizi zinazotokea,je,amehamishwa mkoa wa mbeya au cheo kimepanda ama ni miongoni mwa waliopunguzwa nyota?

Ufafanuzi please,View attachment 807717

Mbeya keshapelekwa urik matei, mpinga hayuko mby tena
 
Habari wanajukwaa,

Nimewaza ghafla tuu na picha yake kunijia akilini ya huyu kamishna wa jeshi la polisi wa mkoani mbeya maana sijamsikia kitambo kuzungumza kutokana na matukio yanayotokea mkoani mbeya hivi karibuni mfano,ajali hizi zinazotokea,je,amehamishwa mkoa wa mbeya au cheo kimepanda ama ni miongoni mwa waliopunguzwa nyota?

Ufafanuzi please,View attachment 807717
Afande mpinga alihamishwa muda kidogo kabla ya haya matukio ya ajali kutokea.Nasikia yupo makao makuu na hajashushwa cheo
 
anakunywa gahawa pande za tanga

Kama kaingia meli ya Tanga basi inabidi tufunge na kumwombea kwani pale hachomoki , viungo atakavyopewa Tanga.... Kiomboi. Misigiri, Kitega, Kinampanda, Ndago, Ulemo hakuna, huyo tusahau kabisa si wetu tena
 
Back
Top Bottom