Habari zenu
Nimepata tatizo nahitaji mkopo wa haraka wa kiasi cha kati ya tsh Million2 hadi 7, kiasi hicho nitarejesha ndani ya miezi miwili naweka dhamana ya nyumba
Iwe mtu binafsi au tasisi...
Weka tukio lolote lililotokea mtaani kwako iwe kituko ,habari,au ata story inayotrend kwa kitaa
inaweza kuwa exclusive au tukio lolote linaloendelea kwa sasa njoo tujuzane hapa..
Kiungo nyota wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Jorge Resurrección Merodio maarufu kama Koke, ameonyesha kushangazwa na Simba wa mbuga za wanyama za Ngorongoro.
Koke na baby wake...
Zanzibar. Polisi Mkoa wa Kusini Unguja imesema inaendelea na uchunguzi kubaini sababu za kifo cha askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), ambaye mwili wake ulikutwa kisimani.
Kamanda wa...
Naombeni kuuliza mtu akitenguliwa wadhifa wake ataendelea kupokea mshahara wa nafasi ile au na hata mshahara unapungua? Mfano kama hawa waliotenguliwa nadhifa zao kama Mkurugenzi wa TANESCO...
Zanzibar. Polisi Mkoa wa Kusini Unguja imesema inaendelea na uchunguzi kubaini sababu za kifo cha askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), ambaye mwili wake ulikutwa kisimani.
Kamanda wa...
Nimesikiliza clouds huyu dada hakika inaudhi na adha alizopata 77 grounds , ni kweli nchi hii Ni uongozi wa kitapeli tuu. Ofisa anamzuia asifanye biashara wala hana kitambulisho na hataji...
kwa wale wapenzi wa night-sky watching...(in fact tangu mwezi umeanza kuna sayari kama tatu zinaonekana kwa macho ukiangalia angani kuanzia jua linapozama..Venus, Jupiter na Mars..
Venus is due...
Vyuo vikuuu vya private kasoro Saint Augustin vinatakiwa vifungwe havina sifa ni uhuni, chuo Lecturer anafundisha masomo mpaka Sita tena siyo profession yake anajisomea. Pili, unakuta chuo...
Miaka nenda rudi watanzania (hasa waajiliwa wa Serikali) wamekuwa wakilalamika mishahara ni midogo sana hivyo wanashindwa kuishi.
Swali. Wanawezaje kuishi kama pesa haitoshi na kwanini mtu...
Mwaka mpya wa bajeti na aina mpya za utapeli
Hongera!!!
Namba yako imechaguliwa kushinda Tsh10,000,000 katika droo ya JUMATAMU JENGA na BIKO.Ili uweze kutangazwa mshindi unatakiwa ulipie...
KIJANA EPUKA MAISHA YA KUIGIZA
Maisha ya kuigiza kwa vijana wengi wa kitanzania kwasasa ni kawaida sana na wengi ndicho kinachowapotezea dira ya maisha..
Kuna mtu anawaza atakula nini sababu...
kwa hali
ilivyo katika mji huu niliopo nazan bado tuna safari ndefu sana, walau kufikia nusu ya mipango iliyopo.
Huu umeme katika eneo hili unakatika kila Jumamosi Asubui mpaka jioni, na...
Serikali ilipofanya maamuzi ya kuzuia makampuni binafsi kununua kahawa moja kwa moja kwa wakulima badala yake vyama vya ushirika ndivyo vikusanye na kuuza mnadani moja kwa moja kama zaman Kabla ya...
Wachaga, Wapare, Wasukuma na Wagogo huwa nawatambua kwa majina yao. Tena Wachaga kwa maumbo yao tu nawagundua haraka.
Wanyaturu, Wairaki , Wameru nawatambua kwa rangi zao na maumbo yao.
Wewe je?
Kusema kweli watu wengi wamechoka na hii hali inayoendelea hivi sasa ,
Siyo ufipa,siyo kijijini siyo maofisini kila mtu anatamani 2020 ifike haraka,
Je itakapofika hiyo 2020 ni nani...
HAKUNA AKIYEWAHI KUWA TAJIRI KWA KUIGIZA MAISHA YA KITAJIRI
Usiishi maisha ya kuridhisha watu katika mitandao kuwa una maisha mazuri wakati sio kweli,tambua hata kama unalala chini basi hayo...
Unakwenda kumtembelea kaka yako na huyo kaka yako ana mtoto wa umri miaka 5 anadeka hatari.
Unakaribishwa ndani mnasalimiana, kisha mtoto anaambiwa akusalimie anasema sitaki.
Mara unasikia...
Ama kweli maisha ni kuchagua
Kuna jambo nimeliona chini ya jua, kwangu naliita ni ubatili na kujilisha upepo
Unakuta mmezaliwa sita ndani ya familia
Wote mmelelewa malezi sawa katika mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.