Sheria za Mitandao naona Zinapamba Moto ambapo Ikiwa leo Katibu wa Chadema mkoa Wa Iringa akiwa amekamatwa kwa Kutoa lugha ya Kuudhi huko kwenye Group la WhatsApp.. Kitu ambacho kimenipa Maswali...
Eti Guys kujadili kidg naona watu tunajisahau sana na kuona kila siku labda tutapata kesho....umri upi mpaka mtoto wa kiume unafika uhakikishe angalau kiuchumi uko positive kidg
Napenda hii, hii ndo inaitwa power dafadeki.
Mimi ndo mwenye Kampuni na nakuajiri na kutaka ufanye kazi kwa jinsi ninavyotaka Kampuni ifanye kazi hutaki/huwezi you are fired, next!
That’s how...
Nitashauriana na Mwanasheria wangu kuhusu hili. Ila nasikitika kufanywa kwa vitisho na vinajenga nini. Nia ni huduma ziboreshwe na tuendelee kuwa na imani kama tunavyokuwa nayo kwa Hospitali yetu...
Wakuu hilo suala ukiliangilia kiundani na kwa jicho la mbali lina ukakasi mkubwa sana kaamua kajiondoa kulinda utu wake na profesional yake ila sisi tunaambiwa kwamba kastaafu kwa kuficha...
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni moja ambapo mshahara wangu ni sh.480,000/=kabla ya makato NSSF!
Sasa ni mwaka wa nane naona kama sisongi mbele kimaisha isipokuwa nimefanikiwa kuoa na kuanzisha...
Habarini za jioni ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 22 nimesoma mpaka elimu ya chuo ila sijapata kazi nimejichanga kwa sasa nina kiasi cha milioni moja naombeni ushauri wa kibiashara maana...
Kwa kweli huyu dada msaidizi wa meneja wa voda Iringa (Galus) tunaomba ubadilike.najua Ujumbe utakufikia tu maana unadharau sana.unaweza ukamjibu MTU chochote unachojisikia jua hii ni dunia.
Watu wanaishi maisha, wanayapenda mpaka inafika hatua hawako tayari kuacha kuishi, yaani hawataki kufa. Hii ni kwa jamii zote, lakini kwa sisi waafrika ni tofauti. Mwafrika wa kawaida kabisa...
Askari polisi Pc Nelson William G 3777 amejiua kwa kujipiga risasi kwa wivu wa mapenzi
Kamanda wa polisi Mkoa wa Mara Juma Ndaki amethibitisha tukio hilo
Marehemu ameacha ujumbe mzito kwenye...
Kila mtu anajua kuwa kila mtu anahitaji kula, kunywa, malazi, mavazi, usafiri, matibabu, na kulipia sherehe za furaha na huzuni kwake, mkewe/mumewe, watoto, ndugu na jamaa zake bila kujali aina ya...
Leo nimeenda kwenye ofisi za ATCL na Fastjet kutafuta gharama usafiri Mwanza - Dar kwenda na kurudi. Kusema ukweli gharama ya ATCL ni nafuu kuliko Fastjet. Tena kwa tarehe ya safari yangu...
1:Uwe na utamaduni wa Kusoma na Kuandika zaidi.
2: Afya Bora na Kuwa fiti kimwili iwe kipaumbele chako.
3: Networking (kujumuika na watu): uchangamane ukiwa umejipanga kutoa zaidi ya kupokea...
Hizi kadi zimekua na shida kwenye kuongeza salio mwaka mmoja uliopita tulikua tunatumia tunawema nauli bila tatizo kupitia max malipo pia mitandao ya simu kama Voda Togo na Airtel
Baada ya...
Kwanza nikubali kuna Watu humu Jf wanaongeza Siku zetu za kuishi kwa mada za mapenzi, utani, na changamoto mbalimbali ambazo hufanya Our life Egal ob tuko Ulaya Au nyie mlio huko kwetu Nyumbani...
Habar ndugu wanabodi,
Najua kila mtu kwa hivi sasa anafahamu kinachoendelea kati ya Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) na wasanii na kabla sijaeleza mengi sana naomba nianze kwa kuufichua ujinga...
Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi
Kama kichwa cha hapo juu..kimavyosema. Bila kupoteza mda tuanze........
kuna watu watapata shida kukuelewa, lakini ukweli chale za wanga ni aina ya MIHURI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.