Kesho Machi 27, 2018 kesi yangu Deogratius Kisandu itaanza kusikilizwa mahakama ya Wilaya Nyamagana

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Ndugu watanzania na wale wote mnaonisapoti nawaomba kufika kwa wingi ili kushuhudia kile kitakachoendelea, najua wengi mnajua fika niko nje kwa Dhamana baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 50. Mungu ni mwema penye HAKI huwa Pana USHINDI.
Siogopi kufungwa kwa Kusema UKWELI MTUPU. Saa 2 asubuhi takuwa mahakamani.

Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Iyo case yako bado sana ...Invastigation ikikamilika ..Ndo ndo tutaanza kujuwa ...tunakusaidiaje sasa hivi utulie ..maana ukijichanganya umeliwa....alafu utuambie unashtakiwa kwa makosa mangapi ? kweny case yako.
 
Ndugu watanzania na wale wote mnaonisapoti nawaomba kufika kwa wingi ili kushuhudia kile kitakachoendelea, najua wengi mnajua fika niko nje kwa Dhamana baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 50. Mungu ni mwema penye HAKI huwa Pana USHINDI.
Siogopi kufungwa kwa Kusema UKWELI MTUPU. Saa 2 asubuhi takuwa mahakamani.

Deogratius Nalimi Kisandu.
Iyo case utashinda ...unabidi useme wewe ni Insanity...kwamba ata uliyokuwa unayaandika ulikuwa katika hali ya Ugonjwa wa Akili kwaiyo kwanzia sasa hivi umtafte daktali wa Magonjwa ya Akili akupime ili ukae na cheti chako cha insanity.
 
Back
Top Bottom