Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kupata mtoto ni formula ndogo sana. Wanaume wengi hufukuza wake zao kwasababu eti wanasema ni wagumba ! La hasha, unatakiwa uzingatie sehemu ndogo sana. Kuanzia siku ya 12 mpaka 14, jitahidi uwe...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu wanajukwaa nimepoteza vitambulisho vifuatavyo 1. Kadi ya mpiga kura Samwel N. Ngulinzira 2.bima ya afya Samwel nicolaus 3. PPF ID Nicholaus ngulinzira Samwel. Vimepotea mjini Kahama...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwanza nianze kuwapa pole na majukumu mbalimbali bila kusahau pia kuwapa pole nasikia vyuma vinawabana sana hadi mmeambiwa mtapata tabu sana[emoji1] poleni sana ndugu zangu!Ila nikikumbuka bongo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salam! Watu hujiua either kwa wivu wa mapenzi, madeni, matatizo ya kifamilia, kuumwa ama tu hasira! Hatari sana. Je, wewe uliwahi kuwaza au kuanza kuchukua maamuzi kabisa ya kujiua upotee kabisa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wenzetu Sheria ni msumeno haichagui wala kubagua ndiyo maana wao tunawaona salama na wanawaona hali sisi tunatambika. Hadi pale tutakapokuwa sawa mbele ya Sheria ajali za barabarani na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu ni.mmoja wa watu maarufu kwa sasa hapa nchini angalia hizo raba zake unaweza ukamtambua....
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mlituhamasisha sana kulima mohogo kwa wingi kwani wapo wachina wanaihitaji kwa wingi. Tuliitikia wito tumelima mihogo ya kutosha. Kinachosumbua sasa hatuna pa kupeleka mihogo yetu, wachina...
1 Reactions
1 Replies
949 Views
‘Burudani zinazohusisha utendaji wa roho waovu au pepo, zinachukua mahali pa wahusika wa kubuniwa kama vile wanyonya damu, mbweha-watu, na mizuka.’ —The Wall Street Journal. WACHAWI wakubwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Wasalam! Hivi ni kwanini KTU akifa Kwa kujinyonga au akifia ziwani hasafitishwi kwenda kuzikwa kwako na badala yake anazikwa pembeni alipojinyongea au pembeni ya ziwa? Mawazo yenu tafadhari
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kuna ndugu yangu kapangiwa huko kikazi naomba kujua mambo haya. Gharama za usafiri kutoka Dar mpaka Kalambo na unapanda magari yanayoenda wapi? Hali ya mazingira ikoje hasa kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kusema kweli kuanzia leo sitachangia wala kuanzisha uzi wowote unaohusiana na maswala ya siasa , Nina sababu zangu za kufanya hivyo nyie wenye mioyo ya chuma endeleeni kushabikia hizo siasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SABABU ZA WATU KUJIUA 97% KATIKA MIA hakuna binadamu anaye jiua mwenyewe! Jamii ndio inauwa Watu wake Siku za hivi maajuzi ongezeko la watu kujiua hasa askari polisi limeongezeka. Chanzo...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu.. Ngoja niende kwenye mada..Katika pitapita zangu instagram nikakutana na hii ya makonda kwamba eti wanawake nak wanugua tezi dume!!! Nimeshangaa na kushindwa kuelewa inakuwaje...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kweli maisha nikuheshimiana wala maisha hayataki kudharauliana...Ona hii picha ya Mike Tayso na Donald Trump iliyopigwa mwaka 1988 wkt huo Mike Iron Tayson alikua amemuajiri Donal Trump kama...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Inawezekana NECTA imeshafanywa kama NEC (Tume ya uchaguzi) na shule private ndio UPINZANI na za Serikali ndio CCM Sorry kwa kuwaza hili, najua kuna nitaowakwaza ila tuvumiliane tu Kila mtanzania...
33 Reactions
74 Replies
8K Views
Nimekutana na tangazo hili nikaona kumbe Tanzania yetu ni nchi ya haki sawa Kwa wote. Yaani Hawa zamani tuliwadharau ila sasa serikali inawajali. Hongereni sawa walevi wote
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Dr. Hans Kitine Dr. Augustine Mahiga Apson Mwang'onda Chini ya hawa ' Mafundi ' Watatu tajwa TISS ilikuwa imetakata na yenye umakini na uweledi mkubwa sana na sikuwahi kusikia Mtanzania...
7 Reactions
65 Replies
12K Views
Nimeangalia hii picha,nikaunganisha na haya maneno kifuani,nikaona Kwa kweli kuna haja ya kuboresha msingi Wa English coz maana wengi hatujui kuunganisha maana ya lugha. Tusaidiane.
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Nimeipenda sana hii tweet imeambatana na utani vijana wa lumumba msitokwe na povu. 1. Babu wa Taifa = Mtwa Mkwawa 2. Baba wa Taifa = Mwalimu Nyerere 3. Kaka wa Taifa = Mhe. Tundu Lissu 4...
8 Reactions
89 Replies
12K Views
Back
Top Bottom