Yanayo lengwa na Magufuli

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,293
8,847

Kiungo nyota wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Jorge Resurrección Merodio maarufu kama Koke, ameonyesha kushangazwa na Simba wa mbuga za wanyama za Ngorongoro.

Koke na baby wake, wako nchini Tanzania wakila raha.

Kiungo huyo anaonekana akiwa amepiga picha na Simba huyo ambaye amepumzika pembeni yake.

Koke ameongozana na mpenzi wake kwa ajili ya mapumziko na wako kwenye mbuga za wanyama za Manyara mkoani Manyara.

Kiungo hiyo aliyekuwa Urusi na Hispania kabla haijatolewa, ametembelea Ngorongoro na picha zinaonyesha akiwa ni mwenye furaha pamoja na mpenzi wake.

Ni kukuza utalii... ili kuongeza idadi ya watalii/wageni wanao kuja kutalii nchini...
 
Kwa hiyo zaman walikua hawaji?Abromavic Roman,
walikuwa wanakuja kwa kiwango kidogo... ukiangalia trend ya watalii nazani ina anza kwenda mbele... na hata wageni ambao ni world classes wana ongezeka mara dufu....

na wageni hao wana saidia pia ktk kutangaza vivutio tulivyo navyo... na pia maonesho ya utalii ya kule ujerumani ni chachu tosha ktk hili, maana huwa hatu hachi kwenda kutangaza tulivyo navyo
 
Nimeshindwa kabisa kupata konsekisheni ya kichwa cha habari na utumbo wa habari yenyewe!

Anyaway asante kwa picha.
 
walikuwa wanakuja kwa kiwango kidogo... ukiangalia trend ya watalii nazani ina anza kwenda mbele... na hata wageni ambao ni world classes wana ongezeka mara dufu....

na wageni hao wana saidia pia ktk kutangaza vivutio tulivyo navyo... na pia maonesho ya utalii ya kule ujerumani ni chachu tosha ktk hili, maana huwa hatu hachi kwenda kutangaza tulivyo navyo
Ndugu yangu kabla hujajibu hilo swali ungetembelea kwanza kampuni za utalii uangalie cancellation zilizotokea toka VAT imeanzishwa kwenye biashara ya utalii. usingekuja na jibu lako la kufikirika
 
Ndugu yangu kabla hujajibu hilo swali ungetembelea kwanza kampuni za utalii uangalie cancellation zilizotokea toka VAT imeanzishwa kwenye biashara ya utalii. usingekuja na jibu lako la kufikirika
Sawa mkuu nime kuelewa...
 
ob.JPG
 
Back
Top Bottom