Unawezaje kutambua kabila la mtu haraka haraka ?

Unawezaje kutambua kabila la mtu haraka haraka ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wachaga, Wapare, Wasukuma na Wagogo huwa nawatambua kwa majina yao. Tena Wachaga kwa maumbo yao tu nawagundua haraka.

Wanyaturu, Wairaki , Wameru nawatambua kwa rangi zao na maumbo yao.

Wewe je?
 
Kuna njia nyingi za kutambua kabila la mtu au sehemu atokayo mfano ni kupitia sura ya mtu,umbile na lafudhi ya mtu .mfano mtu ambaye anatokea mbeya hata kama umjui utamjua kwa maumbile yao walio wengi wana maumbo makubwa ,hasa sisi wa mipakani tunajua hyu mtanzania au mzambia tunawajua pitia sura,mavazi na umbile lao.
 
Uta
Wachaga, Wapare, Wasukuma na Wagogo huwa nawatambua kwa majina yao. Tena Wachaga kwa maumbo yao tu nawagundua haraka.

Wanyaturu, Wairaki , Wameru nawatambua kwa rangi zao na maumbo yao.

Wewe je?
Utawezaje kumtambua huyu ni Chadema, CCM au CUF??? Utawezaje kumtambua huyu ni Mkristo au Muislamu?? Ni mada zisizo na tija kwa taifa hili
 
Back
Top Bottom