Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Miaka nenda rudi watanzania (hasa waajiliwa wa Serikali) wamekuwa wakilalamika mishahara ni midogo sana hivyo wanashindwa kuishi.
Swali. Wanawezaje kuishi kama pesa haitoshi na kwanini mtu usiache kazi ?
Hao hao utakuta wana majumba mazuri na magari mazuri.
Hiyo hela ya ziada kufanya yote hayo wanaipataga wapi?
Asanteni.