Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kusema kweli watu wengi wamechoka na hii hali inayoendelea hivi sasa ,
Siyo ufipa,siyo kijijini siyo maofisini kila mtu anatamani 2020 ifike haraka,
Je itakapofika hiyo 2020 ni nani atakayemfunga paka kengere .
Tunaitaji mtu shupavu wa Akili,Timamu wa mwili na maneno pia siyo mtu bla bla tu .
Ni nani atakae mfunga paka kengere 2020.
1:Tundu lissu.
2 :January makamba.
3:Zito kabwe
4:...............!
Ni kwa nini tunawaitaji kwa sababu wanaweza,wanaudhubutu na watatekeleza .