HAKUNA AKIYEWAHI KUWA TAJIRI KWA KUIGIZA MAISHA YA KITAJIRI

saddyy

Member
Dec 28, 2014
58
53
HAKUNA AKIYEWAHI KUWA TAJIRI KWA KUIGIZA MAISHA YA KITAJIRI


Usiishi maisha ya kuridhisha watu katika mitandao kuwa una maisha mazuri wakati sio kweli,tambua hata kama unalala chini basi hayo ndio maisha yako.Yaishi maisha hayo huku ukiwa unatambua kuwa silaha pekee ya kukutoa hapo chini ni kufanya kazi kwa bidii,kujituma na kuheshimu watu ila sio kwenda kwa jirani kupiga picha na vitu vizuri ili upost kwenye mtandao..

Jiamini hata kama leo huna lakn kesho ukijituma utapata chako
 
Siri ya utajiri ni kujua kutunza pesa. Mimi ninaelipwa laki sita ninaweza kufanya makubwa zaidi ya anaelipwa milioni kama hajui kutunza pesa.
 
Back
Top Bottom