NAHITAJI MKOPO WA HARAKA

NAHITAJI MKOPO WA HARAKA

miami0101

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,336
Reaction score
1,276
Habari zenu
Nimepata tatizo nahitaji mkopo wa haraka wa kiasi cha kati ya tsh Million2 hadi 7, kiasi hicho nitarejesha ndani ya miezi miwili naweka dhamana ya nyumba

Iwe mtu binafsi au tasisi
Au kwa anaejua wapi naeza kupata mkopo wa haraka nipo Kigamboni Dar es salaam 0745188170
 
nakushauri nenda bank.. taasisi za fedha zipo nyingi sana... sitaki kuamini kama hauzifahamu
 
Mi ninazo lakini nahitaji unitumie
1. Andiko lako ( Business Plan)
2. Financial Statements zilizo kaguliwa kwa miaka miwili ya nyuma, na ya mwaka jana (draft statement).
3.Bank Statements za mwaka mzima Plus Confirmation letter ya hiyo benki.

Zitanisaidia kujiridhisha kwamba itakuwa rahisi kurejesha hela yangu.
 
Back
Top Bottom