mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 629
- 453
kwa hali
ilivyo katika mji huu niliopo nazan bado tuna safari ndefu sana, walau kufikia nusu ya mipango iliyopo.
Huu umeme katika eneo hili unakatika kila Jumamosi Asubui mpaka jioni, na sometimes unakatika ata cku za kawaida,
nimefatilia hii kitu miezi mitatu sasa, na naambiwa imekua hivi almost tangu huu mwaka uanze..
Mfano leo umekatika tangu asubui umerud sa moja kasolo hivi,
Na bado wana leta, wanakata yan ndan ya dakika 1 wana leta na kuuchukua tena,
Au ndo mitambo mipya ile inaingizwa kazini Jamani...
Hali hii inaweza kua na impact flan kwenye maendeleo ya watu wa eneo hili
.
[Mbalizi, Mbeya, Tanzania]
.
Si Maji Si umeme,
Sema uzuri wa watu wa eneo hili nikwamba wao wanaona sawa tuu,
yan mpaka wamezoea hii hali, imekua ni latiba kabisa yani..
Labda mitambo mipya ilio kwenye mipango ya Serikali
itakomesha hii hali..
[emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji125][emoji125][emoji125]