Yani halotel kama ni mwanaume basi hana mwanamke mpaka anakosa mtu wa kumtumia texts anaamua kutuma tu upuuzi
Wakuu tokea juzi hawa halotel wamekua wakinisumbua.nanunua kifurushi mb 240 za jamii...
Mzuqa wanajamvi!
Unakuta walimu wanaingia darasani na fimbo vitisho na jazba kisa eti mtoto awe na nizamu. Iyo nizamu ya uoga wanayoipandikiza kwa watoto ndio imetuletea viongozi wa hovyo ambao...
Hivi karibuni, Serikali itafungua Tenda ya Manunuzi ya Treni 19 za umeme zitakazotumika kwenye Reli ya SGR, ambalo kati ya hizo, 5 zitakuwa za abiria na 14 za mizigo. Hii inafuatia Tangazo la...
Mmiliki wa mabasi ya Super Sami alipotea ktk mazingira ya utata,na baada ya wiki mbili maiti yake ikawa imeonekana ikielea ktk mto wa Bunda huku ikiwa ndani ya kiroba na gari lake kuchomwa moto...
WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto, Moudline Castico, amekemea tabia ya baadhi ya wanaume kuwataliki wake zao kupitia ujumbe wa simu.
Akizungumza na wanachama wa Jumuiya ya...
Its funny and embarrassing how grown up people chasing after a small round object in a pitch rounded by high walls packed with other grown up mens spectecting. None the less other grown up men...
Anayemjua huyu mzee atujuze. Ana company nyingi,majumba ya kifahari na vilevile ana hisa kila sehemu. Kila mwaka anafanya sherehe kubwa sana,ambazo zinahudhuriwa na viongozi mbalimbali.
Police...
Katika hali isiyo ya kawaida chuo cha ukunga na uuguzi cha operative theatre management mbeya_OTM(chuo cha hospital ya rufaa mbeya),kimewasimamisha wanafunzi takribani 28 waliokuwa wakisuburia...
Habari wakuu,
Mtoto Isack Shirima (5) ametoweka nyumbani kwao Tandale-Kinondoni- Dar es Salaam.
-Mrefu mweupe
- Mwembamba
Mara ya mwisho alivalia tishet nyeupe na jeans.
Taarifa zipo vyombo...
Dunia ni nyumba iliyojaa kila aina ya mabadililo na imebeba wanadamu wa kila tabia, nashukuru wazazi huwa hawako mbali siku zote kuniambia watendayo walimwengu wema, ubaya na kipi chema kipi...
UNAJUA UDAMBWIDAMBWI WA URUSI WORLD CUP 2018?
Si Cristiano Ronaldo aliyeanza kwa mkwara na chama lake la Ureno, kwa kuipiga hat trick Hispania, mwisho ngoma ikawa sare 3-3. Ronaldo aliishia 16...
Hello Wakuu wa JF.... Unajua JF ilipopotea Nikagundua Hakuna Sehemu nyingine Mtu anaweza Kujielezea Zaidi ya Humu na Mateso yake Acha Kabisa, si lazima Uvute bangi JF ni Dawa ya Kulevya Kabisa...
Wakuu naomba kujua kuhusu hii biashara mana nmepitia nyuzi mbalimbali humu cjaambulia kitu wala kujua ukweli halisi wa hii kitu. Moderator kama itawapendeza msiuuanganishe uzi wangu ili nipate...
Haya ni maswali ambayo watu wamekuwa wanajiuliza hasa wale waliokuwa wana muunga mkono Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli na sasa wamegeuka au kwa msemo mwingine wanasema wamebadili...
Ndani ya wiki mbili hivi simu yangu ilikuwa imepata ahueni ya kutokupokea zile message za Tuma pesa kwa namba hii..
Kiasi chake nilihisi inaeza kuwa wale jamaa waliokamatwa Dar na...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amelalamika kubaguliwa katika mapokezi ya ndege mpya, Boeing 787-8 Dreamliner, ambapo wachungaji wengine walipewa...
Ni wakati wa kumuomba mwenyezi Mungu atuokoe sisi watu wake tunaomtegemea kwa kila pumzi tunayopata hapa duniani ila sasa wengi hatujui kuomba ipasavyo, wengine ni malaika(Watoto wadogo) hawajajua...
Magufuli hajadanganya, Kaongea ukweli aliposema CCM itatawala milele. Nyinyi ndio mnajidanganya kuwa mtaitoa CCM madarakani 2020. Yani after everything kweli bado upinzani mnasubiria uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.