Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wale walioenda kwa Makonda kudai haki zao kwamba wametelekezewa watoto wameshapatiwa suluhisho?? Na wanaume walioitwa na wakagoma wamepewa adhabu gani?? Mikwara mbuzii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekaa kwenye grocery enzi hizo ndo zinaingia namuona mzee wangu ninaempenda mzee mrema kawaka kweli kapanic kweli kweli pembeni yupo kijana mtanashati na mic yake anaconect maswali kutoka kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Yahusu lile agizo la muda wa usafi siku ya jumamosi, kwa masikitiko makubwa mkuu wa mikoa alitengua agizo la kufungua maduka na sehemu za biashara saa nne asubuhi, lakini cha kushangaza agizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu ,naomba Msaada wenu kwa anaye jua. Nina mdogo wangu kapangiwa hospital ya rufaa Manyara kupitia hizi ajira ambazo zilitolewa na Wizara ya Afya, tofauti na zile za Tamisemi. Anaomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pepo hawajaifikia baadhi yao ila wako kwenye blissful state... Hii ni kwa majibu wa wale wasioamini katika Mungu mmoja... Kwa wale waaminio katika dini ya Mungu mmoja marehemu wote wako kuzimu...
9 Reactions
61 Replies
16K Views
Za jioni ndugu zanguni Misikitini makanisani ndiyo sehemu kulikojaa watu wanafiki wa kiwango cha lami ukitaka kuamini hivi ulishawahi hawa makahaba walevi wacheza kamari wavuta bangi nk ndiyo hawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kilimanjaro. Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amemtaka Kamanda wa Polisi mkoani humo kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Kituo cha Polisi Mwanga na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jana majira ya saa tatu hadi nne nikiwa napata msosi bar moja hapa Sinza Mori lilikuja kundi kubwa la vijana wa kiume (kama 14 hivi) mashoga na kukaa katika ile bar. Nilistaajabu sana kwani...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kwanini M/MUNGU ametumba kwa fikra pana yaani kufikiri na kufanya mambo HASI na CHANYA wakati alikuwa na uwezo wa kutuumbaa kwa fikra CHANYA pekee kitu ambacho...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia baada ya kupigwa kwa risasi na polisi wakati wakijaribu kutoroka katika bonde la Malangi Babati. Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tundu Lissu aliposema 'tuna Rais wa ajabu kuwahi kutokea' kuna watu hawakumuelewa. Lakini kwa bahati nzuri, JPM mwenyewe anaendelea kuwaaibisha wanaomtetea kila siku. Kauli za kuhamasisha askari...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Kangi Lugola ametoa tahadhari kwa askari watakaoshindwa kuwalaza mahabusu madereva watakaosababisha ajali. "Ikitokea dereva yoyote amefikishwa Mahakamani bila ya kulazwa mahabusu huyo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Aisee hili sasa balaaa kwa siku tatu mfululizo kumekuwa na Matukio ya Polisi kujiua kwa Kujipiga risasi...!! Mungu akaonekane maana sijui ndo laana au. ---- Ofisa wa Polisi ambaye ni mkufunzi...
2 Reactions
154 Replies
26K Views
Kwa miaka miwili hii Nssf Kumekua na ubabaishaji ambao haujawahi kutokea katika taasisi yoyote tangu uhuru. Ubabaishaji huu kwenye malipo ya mafao umekua unafanyika kana kwamba hakuna serikali...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Za jioni wanajukwaa narudi tena na ujumbe mwingine siku hizi kumeibuka Wimbi kubwa la watu kulalamikia wengine na chanzo ni hao walalamikiwa mfano mtu anafundisha Mambo ya ujasiliamali watu...
0 Reactions
4 Replies
697 Views
Yep! Hicho ndicho kichwa cha habari kwenye ippmedia.com cha habari ifuatayo: Binti apachikwa mimba na mwenziye 2007-10-11 16:36:12 Na Janeth Kiure, Kibaha Mwanafunzi wa kidato cha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jana nimemsikia mzee akilimali akimshtumu mtangazaj wa Clouds media bwana Shafih Dauda kuwa anafanya mawasiliano na Marcio Maximo ili asije kuifundisha YANGA,nilimsikia yule mzee akisema Shafih...
1 Reactions
30 Replies
10K Views
Mama mkwe wangu alilazwa Muhimbili kwa wiki moja, lakini jana nililazimika kumtoa kutokana na kile nilichokishuhudia pale. Pamoja na vituko vingi tu tulivyoviona kutoka kwa manesi wa ward ya...
20 Reactions
195 Replies
18K Views
1. Mateja-Kutokana na Matumizi ya Madawa ya kulevya 2. Ombaomba-Katika maeneo ya kati ya Jiji 3. Vikundi vya kihalifu kama Panya Road, Mbwa Mwitu n.k 4. Ujambazi-hususani katika Mabenki 5...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Huu ni ujinga, haiwezekani utapeli wote wa mitandao unafanyika kupitia line zenu kila siku, sasa kama nyinyi sio majambazi mnaoshirikiana kwa pamoja, naomba mnisaidia kupeleka taarifa za mtu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…