Leo MTU unaacha kazi unataka kujiendeleza ukienda kudai mafao yako ili uongeze mtaji kwenye biashara yako,ukienda kudai mafao yako wanakuambia eti endelea kufanya kazi kwani kujiajiri sio kufanya...
Wanawake wagoma kuwapa unyumba waume zaoKisa! Wameokoka Wanamtumainia Bwana!
Wazee wa kijiji cha Misasi Mkoani Mwanza wameazimia kupiga marufuku uwepo wa nyumba za ibada katika kijiji hicho...
MSAADA ELIMU KWA YATIMA
Kama kuna mtoto yatima anayeasoma Chuo Kikuu chochote Tanzania na amezidiwa na shida ya ada na gharama nyengine za Masomo kiasi cha kulazimika kuacha Masomo, mwambie atume...
Ajali muda huu hiace imeshika moto barabara ya mbembela (Mbeya) ndani ya gari alikuepo dereva na kondakta wote wamesalimika.
Wakati huo ajali nyingine imetokea Kadege (Mbeya) usiku huu bajaji...
Ni muda sana Kipindi taa za kuongoza/kuruhusu magari barabarani zinawekwa.
Na muda wa kurusu upande mmoja kwenda mwinginei ulitegemeana na wapi magari mengi yanatokea.
Ila zama zimebadilika...
Kazi inakuwa kubwa kuendana na muda uliopangwa kumaliza kazi hiyo .
Ukiwa katika sector ya uzalishaji unaweza kufahamu huu msemo . PROJECT MANAGERS wengi wanaijua siri hii ,,, kwani time...
Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Tarime, Newton Mongi na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya chama hicho wilayani humo, Richard Tiboche wanashikiliwa na...
Igweeeeeeeeeeee!
kwanza mh.Waziri leo umeongea kitu chenye tija sana kwa uchumi wa nchi hii kukua.
hatuwezi kufanya kazi masaa machache halafu tuendelee hapana.
Naona uwabane vyema hao polisi...
Arusha. Wagombea 11wa udiwani wa Chadema, wameenguliwa katika uchaguzi mdogo kwa sababu kadhaa ikiwamo kutokujua kusoma na kuandika.
Miongoni mwa wagombea walioenguliwa wapo watano wa wilaya ya...
Habari wana jf
Leo mimi pamoja na jamaa yangu tulikuwa mbeya mitaa ya uhindini kwa lengo la kununua vipuri vya mashine.Sasa tukaingia kwenye duka la mhindi mmoja tukamkuta yuko na binti yake...
Wadau, nilikuwa natafuta bidhaa za electronic kupatana dot com. Nikaingia kewenye forum ya electronics then camera and accessories. Bidhaa ya kwanza niliyokuta ni "karanga". Kama kuna mtu kazionja...
Haijalishi ni nani awe ndugu, mtu wa mbali au yeyote yule.
Hawa watu ni mikosi…
Kwao ni bora wapate kitu mioyo yao inayohitaji pasipokujali wanadhuru wengine. Fahari na starehe za dunia ndio...
Hivi ni:
Ushamba
Hawajui kutumia Twitter
Kila mtu yupo kivyake
Hakujawahi kuwa na jambo kubwa la kuwaunganisha watu kiasi cha #Hashtags kutrend Twitter
- Mambo yanakuja yanapita tu na upepo...
Inawezekana askari wengi wanapata mental fatigue kutokana na kufanya kazi yenye stress na kupokea commands kila uchao.
Sasa ili 'kuwaokoa', utumishi/ jeshi la polisi liangalie uwezekano wa...
wadau mara nyingi nimekuwa nikitoa malalamiko kuhusiana makampuni ya simu kwao binafsi na pia hata kwenye jamii kwa ujumla.na kushangaa kwa nini TCRA imeshindwa kutulinda sisi wateja na kuacha...
Most Powerful Militaries in Africa 2018
10. Libya
Libya has an active military comprising of 76,000 personnel, 400 tanks and 46 aircraft. With a population of 6,244,174, Libya’s defense budget...
Sita mbaroni kwa uchochezi Tarime
Kamanda wa polisi Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe
B
Tarime. Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Sirari wilayani hapa Mkoa wa Mara kwa tuhuma...
Wananchi wa Chanika- Mgeule juu tumekuwa na matatizo hasa Barabara inayoweza kupitika muda wote na Umeme. Njia ambayo hutumika kupita, kuna korongo ambalo hujaa maji na huwa ni shida sana watu...
Kampuni kubwa ya kimataifa haina mikakati ya kibiashara,mnachekesha mno,na kama hakuna MTU anayewahujumu basi pigeni chini management yote ya "Sales and Marketing".
yaani nyie mna tabia zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.