Kilichomkuta Zakaria kime-reflect mauaji ya Super Sami

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,696
Mmiliki wa mabasi ya Super Sami alipotea ktk mazingira ya utata,na baada ya wiki mbili maiti yake ikawa imeonekana ikielea ktk mto wa Bunda huku ikiwa ndani ya kiroba na gari lake kuchomwa moto.

KWANINI GARI YAKE ILICHOMWA MOTO?
Wakuu nipo vizuri kidogo ktk medani za intelligence.
Hapa nitaelezea kidogo sababu za gari lake kuchomwa moto na maiti kuwekwa kwenye kiroba.

Gari la hayati Josia lilichomwa moto ili kuficha au kutengeneza mazingira magumu ya upelelezi endapo ufuatiliaji wowote ule ungefanywa kwa kina ili kuwabaini wauaji.
Maiti ilifungwa kwenye kiroba kwa lengo la kuizamisha ili isiweze kuonekana tena,bahati mbaya kwa wauaji hao maiti ile iliibuka na kuelea,hiyo huitwa "a missed target in action".

Aina ya mauaji aliyofanyiwa Josia ni mauaji ambayo hufanywa na "professional killers" na aina ya mauaji aliyofanyiwa Bilionea Erasto ni mauaji ambayo hufanywa na majambazi tu yasiyo na ujuzi wowote wa kuficha alama.

Turudi kwenye mada.
Zakaria anatuhumiwa kuwashambulia kwa risasi maafisa usalama wa Taifa kwa kile kinachodaiwa walikuwa kazini,hapa sasa ndo kwenye utata wenyewe kwa sababu zifuatazo.

1.Afisa usalama wa taifa hatakiwi kujulikana kwa gharama yoyote ile.
2.Kazi za afisa usalama wa taifa ni kukusanya taarifa za kijasusi kuhusu suala nyeti na kisha kupeleka sehemu husika.
3.Afisa usalama wa taifa hatakiwi ku confront na mtuhumiwa yoyote yule,kazi yake ni kutoa taarifa kisha Police ndo wana act.
4.Ni aibu kwa serikali kutamka wazi eti "wale walikuwa maafisa usalama wa taifa wakiwa kazini" Spies are also known as demons,so they should not be known or made public at any expense", najiuliza serikali hii inajua maana ya Spies na maadili yake? Hata kama mission impossible bado huwezi kukiri kuwa hao walikuwa spies.
5.Inapotokea kuna ulazima wa afisa usalama wa taifa ku act ktk tukio lolote,basi aombe Mungu kwamba mission iwe possible,when a mission becomes impossible the dept has a right to deny its involvement.

Ningeandika mengi zaidi,ila najisikia usingizi,kifupi ni kwamba mission ilikuwa impossible,vinginevyo Zakaria naye angeokotwa kwenye kiroba,kwa nini haya mambo yanatokea na yamepamba moto?
 
asante sana mello!
sicario-2-soldado-2.jpg
 
Back
Top Bottom