Dah afadhali limeisha yani aibu

Dah afadhali limeisha yani aibu

Machudaa

Senior Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
123
Reaction score
311
Its funny and embarrassing how grown up people chasing after a small round object in a pitch rounded by high walls packed with other grown up mens spectecting. None the less other grown up men around the world without shame are sitting watching in their tvs how other grown up people are chasing on a bouncing small round thing.

You find people even missing going to church or mosque to pray because of this nonsense. How can you waste money, energy and time chasing and watching this small round bouncing object being seriously chased by grown ups???

Inachekesha sana na kuaibisha. Mijitu iliyoenda ejii inafuka na kukimbiza kitu kidogo mviringo katika uwanja uliozungukwa na kuta ndefu ambapo imejaa mashabiki. Isitoshe duniani kote watu wazima wamekaa wakiwatazama watu wazima wengine wakilikimbiza hiki kakitu cha mduara kinachodunda.

Unakuta hadi watu wanakosa kwenda kwenye ibada kanisani na msikitini kwa ajili ya huu upuz. Inawezekanaje hela nyingi, nguvu namda mwingi ukatumika kwa kukimbiza, kufukuza na kukagombania ka kitu kadogo kamviringo kanachodunda na watu wazima wakiwa tena seriou????
2018-636669963111316415-131.jpg
 
Hata sielewi kwann naupenda mpira wa miguu aiseee...Labda nikijiulza pale nafurahia nini...!!??
 
Tunakusamehe kwa leo,wewe utakuwa mmoja wa watu wajinga/stupid duniani.
 
Its funny and embarrassing how grown up people chasing after a small round object in a pitch rounded by high walls packed with other grown up mens spectecting. None the less other grown up men around the world without shame are sitting watching in their tvs how other grown up people are chasing on a bouncing small round thing.

You find people even missing going to church or mosque to pray because of this nonsense. How can you waste money, energy and time chasing and watching this small round bouncing object being seriously chased by grown ups???

Inachekesha sana na kuaibisha. Mijitu iliyoenda ejii inafuka na kukimbiza kitu kidogo mviringo katika uwanja uliozungukwa na kuta ndefu ambapo imejaa mashabiki. Isitoshe duniani kote watu wazima wamekaa wakiwatazama watu wazima wengine wakilikimbiza hiki kakitu cha mduara kinachodunda.

Unakuta hadi watu wanakosa kwenda kwenye ibada kanisani na msikitini kwa ajili ya huu upuz. Inawezekanaje hela nyingi, nguvu namda mwingi ukatumika kwa kukimbiza, kufukuza na kukagombania ka kitu kadogo kamviringo kanachodunda na watu wazima wakiwa tena seriou????
View attachment 810372
HONGERA SANA, Utakuwa na akili kubwa sana, usihofu kwa hayo matusi hata kidogo ndio maana WANAOFANIKIWA duniani kote ni watu tofauti na jamii iliokubwa kubwa pia tofauti kwa fikira.
 
Ubarikiwe sana umeongea pointi za kutosha hasa ulipozungumzia habari ya watu kukosa ibada
 
HONGERA SANA, Utakuwa na akili kubwa sana, usihofu kwa hayo matusi hata kidogo ndio maana WANAOFANIKIWA duniani kote ni watu tofauti na jamii iliokubwa kubwa pia tofauti kwa fikira.
unaamini ni wazo lake hilo?
 
Hao wanalipwa pesa nyingi kuliko ww na mkeo pesa mtakayohenya kuipata mpaka mnakufa .....
Nyuma ya huo mpira kuna biashara kubwa sana hapo....
 
Unakuta hadi watu wanakosa kwenda kwenye ibada kanisani na msikitini kwa ajili ya huu upuz.
Wewe sema una yako. Ibada na swala za usiku (Tanzania) zinanipa wasi wasi kama kweli ni sababu za kweli unazo zilalamikia. Mimi siko kwenye mpira lakini sijasikia mpira ukirudisha maendeleo nyuma hata siku moja (ukiacha ile football war iliyotokea Latin America).
 
Back
Top Bottom