Upinzani kuna haja hizi kauli kuzitendea haki

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Magufuli hajadanganya, Kaongea ukweli aliposema CCM itatawala milele. Nyinyi ndio mnajidanganya kuwa mtaitoa CCM madarakani 2020. Yani after everything kweli bado upinzani mnasubiria uchaguzi wa 2020? Mnachekesha kweli. Magufuli atashinda uchaguzi asubuhi saa 4. Bila katiba mpya msipoteze muda hata kupiga kura...
.
.
Hivi mnadhani Magufuli ni mpumbavu anafanya mambo yote anayofanya na mpaka kachukiwa na watanzania kiasi hiki na bado hajali?? Magufuli haitaji kura ya mtu hata mmoja?? Mumpigie kura, msimpigie yeye ndio mshindi. Na ndo maana anafanya anavyotaka. Haitaji mumpende wala.... Ukweli ni kwamba for as long as NEC ndio final say CCM ndio mshindi.
.
.
Seriously inchekesha mnooo ukiona upinzani wanajipa moyo na uchaguzi wa 2020, Yani it’s like they are in denial.

Hii ni post ya mange kimambe huyu dada yupo vizuri tuache masihara.

Mods naomba msifute hii post inafunzo kubwa sana.
mangekimambi_-20180716-0001.jpg
 
You never know(YNK) kuna matukio mengine yako nnje ya uwezo wa Mwanadamu Je asipo fika 2020 Atashindaje? Je likatokea lolote mungu kuonyesha utofauti wa Uungu na uwanadamu CCM ikapoteza?? Kuna mwenye shaka juu ya Amri ya mungu? How comes Milele?? Ni Wah'Y toka kwa mungu Ameshushiwa?? Milele?? Yaani mpaka kitakapo kuja kiama sio??
 
Nchi haiwezi kuendelea milele.
Msingi wa maendeleo ni WATU, ARDHI, UONGOZI BORA & SIASA SAFI.
WATU- Watu wetu ndio Hawa mateja, mashoga, wasio na hofu ya Mungu, wasio na nidhamu, wavivu, wazembe, wenye husuda, walio kata tamaa, wasiojitambua, wanaoamini Bila wizi na rushwa huwezi kufanikiwa, wasio jiamini, wasiothaminiwa na serikali yao, wanaouwawa vituo vya Polisi je ni kweli tuna watu au tuna misukule? Watu Hawa wamekuwa hivi kutokana na stress za CCM

ARDHI tunayo kwa ukiona kwa macho lakini ni Mali ya wawekezaji.

UONGOZI BORA
Ni aibu sana kiongozi wa nchi kuita watu wake vilaza, Mara utishie kupiga shangazi zao, Mara useme kwamba hukutegemea kura mtu yeyote kuingia madarakani.
Viongozi ambao maendeleo ya Mwananchi kwao sio kitu cha msingi. Hawa viongozi wa namna hii hawawezi kuendeleza Taifa milele.
SIASA SAFI
Siasa za kukandamiza demokrasia, kukandamiza haki za binadamu, na siasa za chuki Na visasi haviwezi kuifikisha nchi popote
 
Wananchi tutapoamua kuitetea nchi yetu ndio tz itakombolewa vinginevo dikteta atatukandamiza hadi damu zitoke.Hao wanasiasa sijui wa upinzani wapo kazini na kupiga kelele tupu huko ndio kunafanya wale.
 
Nchi haiwezi kuendelea milele.
Msingi wa maendeleo ni WATU, ARDHI, UONGOZI BORA & SIASA SAFI.
WATU- Watu wetu ndio Hawa mateja, mashoga, wasio na hofu ya Mungu, wasio na nidhamu, wavivu, wazembe, wenye husuda, walio kata tamaa, wasiojitambua, wanaoamini Bila wizi na rushwa huwezi kufanikiwa, wasio jiamini, wasiothaminiwa na serikali yao, wanaouwawa vituo vya Polisi je ni kweli tuna watu au tuna misukule? Watu Hawa wamekuwa hivi kutokana na stress za CCM

ARDHI tunayo kwa ukiona kwa macho lakini ni Mali ya wawekezaji.

UONGOZI BORA
Ni aibu sana kiongozi wa nchi kuita watu wake vilaza, Mara utishie kupiga shangazi zao, Mara useme kwamba hukutegemea kura mtu yeyote kuingia madarakani.
Viongozi ambao maendeleo ya Mwananchi kwao sio kitu cha msingi. Hawa viongozi wa namna hii hawawezi kuendeleza Taifa milele.
SIASA SAFI
Siasa za kukandamiza demokrasia, kukandamiza haki za binadamu, na siasa za chuki Na visasi haviwezi kuifikisha nchi popote
Nchi imeshagota!
 
Makosa ya upinzani ni
1Kuwapokea Lowassa na Sumaye
2 Kusitisha maandamano ya September mosi
3 Kususia uchaguzi mdogo na kurejea kwenye chaguzi za marudio pasipo dosari ama sababu za kususia kurukebishwa
4Kuishia kulalamika kwenye media pasipo kupeleka shauri mahakamani
5......
 
Back
Top Bottom