BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,041
Wakuu naomba kujua kuhusu hii biashara mana nmepitia nyuzi mbalimbali humu cjaambulia kitu wala kujua ukweli halisi wa hii kitu. Moderator kama itawapendeza msiuuanganishe uzi wangu ili nipate ukweli halisi. Maswali yangu ni
1. Je! Hii ni biashara halali au magumashi?
2. Biashara hii network yake ikoje?
3. Inasemekana ni biashara ya kitapeli je ni kweli?
4. Vipi biashara hii kuhusiswa na pepo ambalo linamuuingia mtu na kushindwa kutoka mpaka atakapofilisika kabisa.
5. Vipi mtu anayefanya biashara hii kuwa na madeni na kuuza vitu vyake uhisiani upoje?
Ni hayo tu wakuu . Naomba mnisaidie mana nina ndugu yangu naona simuelewi kabisa na hii biashara . asanteni