MGANGA MCHAWI
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 199
- 393
Haya ni maswali ambayo watu wamekuwa wanajiuliza hasa wale waliokuwa wana muunga mkono Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli na sasa wamegeuka au kwa msemo mwingine wanasema wamebadili gia angani.
Wakati wa kampeni za mwaka 2015, kuna baadhi ya watu walikuwa wanamuunga sana mkono Magufuli na ilikuwa huwezi kuwaambia chochote kuhusu magufuli na hata baada ya kuingia madarakani bado walikuwa wanamuunga mkono hadi kufikia hatua ya kuanzisha #hashtag# kwenye mtandao wa twitter wa "WHATMAGUFULIWILLDO"?
Samahani kwa nia njema naomba niwataje kwa majina yao ya mtandaoni(twitter) baadhi ya hao watu.Baadhi yao ni Maria sarungi, Evarist chahali na Dan nkurlu.
Sasa najiuliza nini kimetokea kwa hawa jamaa na baadhi ya maswali ninayojiuliza ni haya yafuataayo;
i) Ni chuki tu za kipindi kile kwa lowasa?ii)Ni kweli ni wazalendo wanapigania maslahi ya watanzania kwamba kipindi kile Magufuli alikuwa upande wa watanzania ila sasa hivi kabadirika?iii)waliahidiwa kulipwa kipindi cha kampeni baadae wakadhurumiwa kwa hiyo kwa hasira wameamua kumgeuka?
iv) Au ni kweli kuwa kuna baadhi wamegeuka baada ya Magufuli kugusa maslahi yao?
Chochote kilichotokea ila hii nchi itaendelea kama kutakuwa na vijana wanaoweza kuhoji na kusimamia ukweli.
Sikuamini siku niliposoma jumbe ya Evarist chahali twitter kuwa alihaidiwa zaidi ya millioni 10 ili ampigie kampeni Magufuli ila bahati mbaya akadhurumiwa na yule aliyemtaja kuwa ni Kinana.Nilipata hofu na kujiuliza kuna vijana wangapi wanalipwa ili kutetea maovu?
Sasa hivi chahali ana upinga utawala wa Magufuli je kwa sababu ipi???Je ya kudhurumiwa?Uzalendo?Chuki binafsi kwa lowasa?
Ukweli ni kwamba nchi za Africa tuna safari ndefu sana.Umaskini na njaa ya tumbo itatumaliza na itasababisha nchi zetu ziendelelee kuwa masikini milele.
Tunahitaji vijana wanaohoji viongozi kama Chahali na Maria ila wahoji kwenye mambo ya msingi na wamaanishe kile wanachokihoji.Wajiulize ni watu wangapi waliwageuza mawazo yao na kumpigia kura Magufuli?Ni wangapi wamevunjwa moyo baada ya kusikia Chahali aliahidiwa zaidi ya million 10 kumpigia kampeni Magufuli??
Niwe mkweli vijana Jami ya Chahali ndio watakaofanya CCM itawale milele.Vijana kama hawa hawafai wanapaswa kupingwa vikali na yeyote anaeitakia mema tanzania.Inapaswa kumsikiliza mara mbili na sio wa kumuamni moja kwa moja.
Sitaki kuamini kuwa na dada yangu Maria yupo kwenye kundi la Chahali.Nina amini naye anashangaa "WHATMAGUFULIISDOING"? kwa kuwa alichokitegemea sio hiki anachokiona kwa sasa.
N.B. AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.