Misemo ya watu watu wa maisha ya chini

Misemo ya watu watu wa maisha ya chini

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Kuna misemo mbali mbali ya watu wa maisha ya chini tukumbushane naanza 1.Bosi hanuniwi. 2.Kuvaa dela sio Kazi Kazi kulishikilia unapotembea. 3.Tofauti ya funguo ulizoshika Na nilizoshika Mimi ni kuwa za kwangu zina ufunguo wa bodaboda wakati zako hazina. 4.Utakataaje Kula ugali Na matembele wakati hela ya nyama huna.
 
1. NILIKOTOKA NIMEAGA
2. UTAUZA HADI NGUO ZA NDANI MSIMU HUU
3. MSHENZI MALAYA WA BEI CHEE WEWE
4. UTAMALIZA VISIGINO KWA SAFARI YA UMBEA
5. SILI WALA SILALI MAPUANI KWAKO

Wadada bwana!!
,[emoji16][emoji16][emoji16]
 
KOMWE NDO AKILI CHOGO MZIGO
KWANGU SMARTPHONE MZIGO SIMU NI SIMU ILIMRADI MAWASILIANO
 
Back
Top Bottom