Mbeya: Wanafunzi 28 wa uuguzi wasimamishwa masomo

Advicer

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
542
Reaction score
295
Katika hali isiyo ya kawaida chuo cha ukunga na uuguzi cha operative theatre management mbeya_OTM(chuo cha hospital ya rufaa mbeya),kimewasimamisha wanafunzi takribani 28 waliokuwa wakisuburia kuhitimu masomo yao ya mwisho ya diploma ya ukunga yanayokadiliwa kumalizika mwezi wa nane mwaka huu.
Katika taarifa iliyotolewa na baadhi ya wanafunzi waliosimamishwa ambao hawakuwa tayari kutaja majina yao walisema kati ya wanafunzi 28 waliosimamishwa,wanafunzi 3 wafukuzwa moja kwa moja na wanafunzi 25 wamesimamishwa kwa miezi 6.
Wakieleza wanafunzi hao wanasema
Tarehe 9/07/2018 walianza mithiani ya majaribio mock ambayo ilifanyika nyanda za juu kusini katika siku ya pili ya mithiani hiyo wasimamizi wa ndani (walimu wa chuo hicho) walisema mithiani hiyo ilivuja na hivyo kuchukua jukumu la kwenda nje ya chumba cha mthiani na kuchukua mikoba ya wanafunzi hao iliyokua na material waliyokua wanasoma wanafunzi pamoja na simu za mikononi ambapo wanafunzi hao waliiweka nje ya darasa..Baada ya hapo simu hizo ziliwashwa na walimu hao na kuanza kusoma message na kuangalia picha zilizopo katika kile ambacho wao walikiita ni upekuzi wa kugundua mithiani iliyovuja.Walimu hao walienda mbali zaidi na kwenda kukusanya simu zilizopo kwenye hostel za wanafunzi na kuendelea na upekuzi..Katika siku ya pili yaani tarehe 11/07/2018 mahojiano ya kumuhoji mtu mmoja mmoja kati ya ofisi ya chuo hicho kitengo cha uuguzi yaliendelea.Mahojiano hayo yalikua yakiendeshwa chini ya kaimu mkuu wa chuo ambapo wanafunzi walilazimishwa waseme kuwa walikutwa na majibu kwenye chumba cha mthiani na wakilazimishwa wataje walipotoa majibu hayo.
Tarehe 12/07/2018 mahojiano yaliendelea ambapo inareportiwa kuwa mwanafunzi mmoja anayejiendeleza ambaye jina lake halikupatikana mara moja alifungiwa kwenye chumba cha chuo hicho kwa masaa zaidi ya 8 akiwa na mtoto wa mwezi mmoja na nusu, walimu wa chuo hicho walimuweka kizuizini ikiwa ni njia ya kumlazimisha aseme material yale alipoyapata.
Katika hali ya kusikitisha inareportiwa kuwa kumekua na vitendo vikubwa vya udhalilishaji na uvunjaji wa haki za binadamu hasa kwa wale wanaoonekana kuwa ni wakereketwa au wapenzi wa Chama tawala (CCM)
Hadi taarifa hizi zinaandikwa hakukua na uthibitisho wowote wa kuvuja kwa mithiani hiyo ,vyuo vyote vilivyoshiriki kufanya mithiani hiyo havijareport popote uvujaji wa mithiani hiyo na ata chuo husika (operating theatre management mbeya-(chuo cha rufaa))hakijareport uvujaji huo sehemu yoyote.
Alipotafutwa kaimu mkuu wa chuo hicho kuzungumzia taarifa hizi simu yake haikupokelewa .
Alipopigiwa kwa mara nyingine simu yake haikupatikana.
 
Habari imekaa kishabiki kupita kiasi.
 
kuna jambo litakuwa linaendelea hapo.. nashauri mchunguzi achunguzwe na wachunguzwaji wachunguzwe yatapatikana tu ya chini ya kapeti
 
Ccm mna tabu sana..mtapika na hakitaiva!!
 
Habari mhimu kama hii inaletwa kisiasa kama sio kufilisika kiakili ni nn!
 
sasa mbona vitu sensitive " kama hivyo " umeviongelea " kijinga kiasi " hicho"... CCM ndio nini " inahusika vipi na mitihani ya mock na kuvuja kwake " kwahiyo ulitaka hata kama wangekuwa " wamevujishiwa mtihani"" wasiwajibishwe " kisa tu wao " ni CCM...."" akili za watu wengine bwana "" kama nywele za tshi shimbi
 
Chuo pale rufaa kimeoza zamani sana since 2009 najua madudu yake ila ukizungumza unaambiwa funga mdomo...
 
walimu hawana haki ya kupekua simu ya mwanafunzi. Ushahidi wa kupatikana hivyo mahakamani haukubaliki hata kidogo hata kama ni wa kweli. Watu waache kufanya mambo ovypovyo bila kufuata utaratibu.
 
Baada ya hapo simu hizo ziliwashwa na walimu hao na kuanza kusoma message na kuangalia picha zilizopo katika kile ambacho wao walikiita ni upekuzi wa kugundua mithiani iliyovuja.

Kwa mujibu wa Mwakyembe ni kosa, kwanini simu hazikuwa na password au wakufunzi walicrack simu za wanafunzi wao?
 
Mbona kuna harufu ya uchama hapa?
 
Vyombo husika viingie pale Kuna uozo mkubwa Sana kwa masaa machache niliyofanikiwa kukaa pale nimegundua vngi Sana kile chuo saiv kinakua campus ya UDSM ila yaliyomo yasipoangaziwa wanaharibu

Back
Top Bottom