pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Anayemjua huyu mzee atujuze. Ana company nyingi,majumba ya kifahari na vilevile ana hisa kila sehemu. Kila mwaka anafanya sherehe kubwa sana,ambazo zinahudhuriwa na viongozi mbalimbali.
Police na trafic siku wanapataga raha sana kipindi cha sherehe zake. Hata mzee wa vijisenti (Chenge) Cleopar David Msuya na wengine wengi huwa hawakosi sherehe zake.
Na alishajitengaga na kanisa la kilutheri na kusababisha waumini kujitenga na kufungua kanisa lake kutokana na kuishi na mke zaidi ya mmoja.
Hata kipindi cha utawala wa Al khaji Mwinyi alishawahi kulala kwake.
Pia ndiye anayepanga mbunge gani agombee wilaya ya Mwanga kwa upande wa CCM.
Anayemjua zaidi atiririke.