Halotel mna nini lakini?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
20,142
45,808
Yani halotel kama ni mwanaume basi hana mwanamke mpaka anakosa mtu wa kumtumia texts anaamua kutuma tu upuuzi

Wakuu tokea juzi hawa halotel wamekua wakinisumbua.nanunua kifurushi mb 240 za jamii forum na whatsapp tu cha ajabu kila muda wananitumia ujumbe kuwa nimemaliza mb akati bado zipo naendelea kutumia

Mara waseme zipo tano,natuma JF mpaka nachoka haziishi tu

Jana nimeweka vocha ya elfu 3
Mara ya kwanza wakesema zimebaki 5 nikanunua zingine 240 baada ya muda naambiwa zimeisha nikanunua tena baada ya muda tena wanasema zimeisha

Saivi tena wamenitumia ujumbe zimebaki 5 nimetumia ni nusu saa sasa haziishi

Hivi na nyie mnapata usumbufu huu ?
 
Mkuu huo mtandao umebakia ni wa wale *wazee wa ile pesa* mi huku nilipo natumia Tigo yaani mwenzio ugomvi wangu sasa umebaki kwenye mb zangu Ku expire yaani kila siku lazima mb zangu zife baada ya muda kuisha na mm kuwa sijazimaliza yaani sasa siku hz kazi ni kudownload video U tube za kuangalia offline ila nazo sasa zimemaliza space,Km vp niwe nakupunguzia.
 
Hahaha mkuu,
Sim card yao nimeshaitoa
Kumbe tigo wapo vizuri
Kwanza halotel wana niibia et mb 240 buku akati nimenunua airtel ni mb 500
 
Zamani walikuwa vizuri sana yaani tulikuwa tunalia na charge na simu kupata moto ila siku hz mi nalia tu na usumbufu ninaoupata kutoka kwa Wale wazee wa ile hela na Babu wa Ndagu tu.
 
Back
Top Bottom