Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha...
Hili linanipa shida sana kwenye Masikio yangu ya asili, nimekuwa nikizisikia sauti za wazazi, walezi, na walimwengu wakimkanya binadamu huyu mwerevu asithubutu kufanyanae urafiki na huyu binadam...
Kwa mujibu wa habari ITV kuna ajali imetokea huko Chato na watu 2 wamepoteza maisha.
Ajali hii ilihusisha gari la Serikali la waziri mmoja ambaye kwa habari hizo mkuu huyo alijeruhiwa.
-
Miendo...
Tukirejea kauli ya mkuu wa nchi kuwa hawa watu wasisumbuliwe, lakini kuna baadhi ya maeneo mtu mwenye akili timamu ukipita lazima upate kichefuchefu.
kwa watumiaji wa mandela road mradi wa...
Kwa wale wa imani ya kikiristu Moja ya amri za Mungu ni kuwa "usiue". Nimekaa natafakari mfano niko nyumbani kwangu mara majambazi yenye bunduki waingie nyumbani kwa lengo la kunidhuru au kunipora...
Wakuu wa JF, Mimi naishi US na niko huku miaka mingi tu, lakini sasa hivi hali ya uhamiaji ni tete, uwe unaishi kiharamu au kihalali. Naona naweza kurudishwa bongo muda wowote, naomba msaada...
Wanafunzi wanne wamefariki kwa kuzama kwenye mwambao wa bahari ya hindi wakiwa kwenye hafla ya kusheherekea matokeo yao ya mtihani. Wanafunzi wanne wa Shule ya Sekondari Kimbiji iliyopo wilaya ya...
Ogopa sana kushindana na mtu aliyepoteza mwelekeo wa maisha....mtu huyo ni hatari sana kwani hana cha kupoteza wala hana mpango wowote na maisha yake ya baadaye kutokana na kujikatia tamaa...
Siku moja tulikuwa na safari ya kusindikiza maiti kijiji Fulani, Pasipo Bahati
nilichelewa kwenye gari ambalo lilibeba wanaume. Nikalazimika kupanda
Landrover 110 pickup ukiacha dereva mimi ndiye...
Kuna tatizo la mila na tamaduni za baadhi ya makabila Kiteto kutoona haja ya kuwa na vyoo kwenye makazi yao.
Jambo hili limepuuzwa na hata wasimamizi wa sheria wakiona kama jambo la kawaida...
Nani muanzilishi?
Inakusudi gani katika jamii?
kwani kabla ya uwepo wake, watu walikuwa wanapambana na hali za nani?
Je, inauhusiano wowote na siasa?
Kila mtu akipambana na hali yake, hakuna...
Haya n maono Takatifu kwa jeshi letu;
Pale N.I.T pana mwitikio mzuri Wa madereva kwenda kusoma hadi wengine wameanza kupangiwa tarehe za mbali za kuanza masomo kutokana na msongamani;
Ombi langu...
Habari za muda huu wakuu.
Mimi si mwenyeji wa mbeya lakini huwa naenda mara nyingi. Sasa kuna swali linanitatiza na nimeuliza nakosa majibu.
Hivyo naomba kujue je "HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba kupata uzoefu juu ubora wa TV za BOSS. Kwa picha zile 4k kuanzia 55 inch na 65 inch zinaonekana vizuri. But sijajua kuhusu durabilitu yake na matatizo...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Kamishna wa Uhamiaji kutotoa kibali kwa Mtanzania yeyote kuondoka nchini kwa madai ya kupata kazi nje ya nchi bila kujiridhisha kuwa anayo...
Majira ya saa saba usiku nikiwa nimetoka bar akili ikiwa imeshachoka kutokana na balimi tisa nilizopiga, nilikuwa nakatiza mtaa wa mkwajuni karibu na makaburi ya wahenga wa mtaa huo uliopo maeneo...
Shule za ufundi zimetakiwa kuuza ramani za majengo zinazobuniwa na kuchorwa na wanafunzi wakati wanapokuwa mashuleni ili kuwaingizia kipato.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Mbulu...
Hili la picha za "kudhalilisha" za Waheshimiwa Wateule lituachie funzo Wanajamii
Jamii yetu imejikuta kwenye mjadala mkali baada ya baadhi ya Waheshimiwa Wateule picha na video zao za utupu...
1. TALA License
2. EURA taxlYo charged by TANESCO from October 2009
3. REA tax 3Yo charyed by TANESCO from October 2009
4. VAT
5. Corporation Tax
6. Withholding Tax
7. Stamp duty n '
8...