Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limefanikiwa kuwakamata akinamama watatu wakiwa wanawauzia wanafunzi wa shule ya Sekondari Bangi na watafikishwa mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.
Pwani. Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwenda katika kiwanda kinachotengeneza marumaru (Tiles) cha Goodwill kukagua gharama za...
Ukweli usemwe tu!
nimetembea mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam haswa haswa ile iliyokuwa ikiongoza kwa uchafu hakika nimeanza kuona mabadiliko.
Kwa sasa unaweza kuona aibu kutupa uchafu hovyo...
natumani mko salama wote.
Naomba wataalam wa sheria Jumamosi tarehe 14 nilipigiwa simu na polisi na kuambiwa simu nayoitumia ni ya wizi hivyo wanaomba ushirikiano wangu. Mimi kwa vile ile simu...
Nilipita Tabata Magengeni Jana nikanunua kg. moja ya nyama. Nilipoanza kuiandaa nikasikia harufu isiyo ya kawaida! Ni kama ile ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Chonde chonde TFDA (na TBS)...
Siku 11 baada ya Phaustine Kasike kuteuliwa kuwa kamishna jenerali wa Magereza, kiongozi huyo amefanya mabadiliko ya wakuu wa magereza nchini.
Kasike aliteuliwa Julai 13 na Rais John Magufuli...
Mimi sio mwandishi wa habari lakini sielewi kwa nini wandishi wanapotosha jamii kiasi hiki
Mtu hupata maarifa kutokana na vyanzo mbalimbali,miongoni mwa vyanzo vya maarifa ni magazeti...
Napoandika haya sio kuwa najua sana ila kias nachojua nashirikisha wanajamii wenzangu.. Nlipokosea tukosoane tufundishane ili kuongeza uelewa kwa wengine...
.
Mafanikio ni kama chakula...
Ukaguzi huo ulifanyika jana na uliongozwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah lengo likiwa ni kumaliza ajali za barabarani zisizo za lazima na kusema kuwa uperesheni hii ni...
Ndugu wanajamvi,
Natambua kuwa baadhi ya JF members wanapata matibabu Yao katika kituo tajwa hapo juu. Hivi karibuni kumekuwa na mabadiliko makubwa ya kitabia Kwa wahudumu wa kituo hiki cha afya...
Pamoja na kwamba marehemu hana haki lakini damu ya mtu haiendi bure! Karma is bitch.... And this bush has a story to tell....!!!! [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Chris Musando RIP...
Ishi ukiamini kuwa kila kinachotokea ni muujiza au kinachotokea siyo muujiza.
Kila kitu kina kipaji chake. Lakini kama utampima samaki uwezo wake. Kwa kukwea mti, atatumi muda wote wa maisha yake...
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Kanda ya Ziwa imekamata shehena ya malighafi ya mafuta ya kupikia aina ya Poa Cooking, yanayodaiwa kutengenezwa na viambata vya sumu katika kiwanda cha kuchambua...
Kwa kuwa kitengo cha polisi cha usalama barabarani ni nyeti sana kama vile Magereza, ili kukiimarisha zaidi, iko haja ya kuwa na chuo cha askari wa usalama barabarani kama vile ilivyo kwa askari...
Kwanini tbc isiwe inaazima vifaa (mitambo) au hata kuomba msaada kwa wasafi tv???
Tbc picha zenu ni mbovu sana na hamna ubunifu kabisa na vipindi vyenu vinaegemea upande wa chama tawala tu sio...
Habar zenu wakubwa....niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba nipate mwangaza kidogo kwenye mambo ya kutafuta ajira, kuna baadhi ya watu hua wanahofu ya kutafuta ajira kutokana na vyet vyao kua...
Homepage
Accessib
Tuzo za Beffta: Nani hawa wanaomtambua na kutaka kumpa Mange Kimambi tuzo ya wanawake
Haki miliki ya picha@MANGEKIMAMBI_
Mwanamitindo Mtanzania aliyebadilika kuwa...
Hivi karibuni Gazeti dada la Financial Times, lilifanya uchunguzi kwa wateja wa gesi jijini Dar es Salaam na kuelezwa wajanja wanavyopunguza nishati hiyo kwa kuchakachua uzito wa nishati hiyo...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amemtaka mkandarasi anayejenga stendi na soko la kisasa la kimataifa jijini Dodoma, kutekeleza miradi hiyo vizuri...
Wakuu,
Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.