Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. TAIPAN WA ARDHINI: Nyoka huyu ni wa kwanza kuwa na sumu kali duniani, anaeishi ardhini tu. aking'ata kitu chochote hutoa sumu kiasa cha milligram110 iliyo na uwezo wa kuua binadamu 100 au...
25 Reactions
572 Replies
113K Views
Bila kupoteza muda Je smartphone yangu inaweza kufanya mambo mangapi? Nataja machache ninayoyajua 1.kalculeta 2.tochi 3.kutuma msg Kupiga cm 4.kurekodi sauti 5.kurekodi picha/camera/video 6.radio...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kagera: Taharuki imetanda katika shule ya msingi St Joseph Rutabo iliyopo Kamachumu, wilayani Muleba baada ya mabweni ya wanafunzi kuungua moto Mabweni matatu ya wanafunzi shule ya msingi st...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kiukweli huu mti upo highly endangered na kwa kuendelea kutoa zawadi ya vinyago vinavyotokana na mti wa Mpingo (African Blackwood) ni sawa na kuhimiza ukataji wa miti hii maana kwa kila aina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WASOMI, wanasiasa, wafanyabiashara na wananchi wa kawaida, wamezungumzia gawio la Sh bilioni 736.36 lililotolewa kwa serikali kupitia taasisi, kampuni, mashirika na wakala wake kwa mwaka wa...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Habari Wakuu, Kutokana na wanafunzi wengi wa chuo kuwa katika kipindi cha mitihani, JamiiForums tumepokea maombi ya wanafunzi wengi kuomba kusogezwa muda mbele ili wote wenye nia ya kushiriki...
7 Reactions
2 Replies
5K Views
Chinga One nawasalimu wana JF, Baada ya Salam hizi napenda kutoa pongezi kwa Sumatra na Jeshi la Polisi Tanzania kwa jitihada wanazochukua kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani na lakini...
1 Reactions
75 Replies
9K Views
Wanajamvi kuna kisa cha siku nyingi kuhusu Bwana mmoja na Nyoka. Siku moja bwana mmoja alimwona nyoka aliyekua kanasa katika mzigo wa kuni uliokua ukiungua. Pasipo kujali, Bwana yule alitia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF Nawaza tu kwa maandishi, ujinga au upumbavu wa mtu mmoja ni uwerevu kwa mwingine, one man's trash is another man's treasure, kosa la mwanafunzi kwenye mtihani mmoja ni jibu...
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Nasema ya ajabu sababu sijawaji kuiona kabla, nimezoea kuona Kilombero sugar tu.., ona picha yake =================================== Lengo la kuzuia sukari toka Zanzibar na kuruhusu ya Thailand...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Msajili wa Hazina, ATHUMAN MBUTTUKA , amefafanua kwa kina gawio la Sh bilioni 736.36 lililotolewa na mashirika, kampuni, taasisi na wakala wa serikali kwa serikali kuu. Mbuttuka amesema, kampuni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mbona hamuiti udikteta? Au kwa sababu ni Muzungu na mnamuamini? Mnafahamu kwamba sasa hvi ukitaka kuomba viza kwenda USA wanaangalia mpaka facebook page yako na kusoma ulikuwa unawasiliana na...
0 Reactions
5 Replies
776 Views
Katika kuadhimisha siku ya mashujaa nchini Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy wa JWTZ ameweza kuwaongoza wanajeshi 300 katika kuchangia damu baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa...
3 Reactions
14 Replies
8K Views
Hili suala linazidi kunishangaza, kila kona, mji mzima utawakuta kuanzia 6-10 wakiwa na vidubwana vyao vya kutolea risiti, ole wako ukutane nae, atatafuta kila sababu ili tu ulipishwe faini ya...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu habari za weekend, Aisee nimesota sana kulogin JF sijui kwanini imekuwa tabu sana kuingia imebidi nifungue I'd nyingine ili nipate kuwasiliana na marafiki zangu. Aiseee nimewamiss mno...
5 Reactions
81 Replies
9K Views
Nikikumbuka miaka ya 1980,mzee wangu aliajiriwa ktk kiwanda cha kutengeza karatasi Southern Paper mill SPM ,kilichopo Wilayani Mufindi,mkoa wa Iringa. Kiwanda hiki ndicho kilikuwa kiwanda kikubwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau Kichwa cha habari chahusika.Huyu DC Salum Hapi ndie yule alikuwa anashawishi wasomi wa udsm na kuongoza maandamano na migomo ya hapa na pale chuo kikuu mlimani 2012 au nimemfananisha...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mradi wa barabara ya Kata ya Makongoro Kigoma unaodaiwa kujengwa kwa milion 62 yenye urefu wa 4km umekuwa ukilalamikiwa na Diwani wa kata hiyo Clayton Chipando (Baba Levo) kuwa haujajengwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Raymond Minja, Iringa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Iringa imetoa taarifa ya utendaji wake kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu...
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Ni operesheni tokomeza Ajari walioletewa leseni nyumbani kunyakuliwa kwenda jela miezi 6 Mda wowote kuanzia sasa dereva utapaswa utembee na leseni yako Hai ya udereva utembee na cheti cha...
10 Reactions
188 Replies
19K Views
Back
Top Bottom