Traffic wa kike mnakera kutochomekea mashati

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,673
Reaction score
3,740
Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana
 
Huyu hapa ranging tatu kasuka twende kilioni kofia anavaa hadi ana karibia kufunika macho. Ana msambwanda na rangi ya jongoo. Huwa najiuliza maafisa wana mwacha kweli? Harafu yuko kwenye umri 28 hadi 30
 
Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana

Ile ni uniform mpya Jombaa
 
Kwa ushonaji wa hayo mashati inaonekana wazi kuwa hayakubuniwa kwa ajili ya kuchomekea kwani yana mkato wa pembeni kwa chini kushoto na kulia.
Nadhani suruali zimeamriwa kuvaliwa kwa kuwa kwa mazingira ya kazi za askari wa usalama barabarani sketi zilikuwa na changamoto ya kupanda juu kunapokuwa na upepo mkali na kuwafanya wawe na wakati mgumu kujihifadhi wakati wakiwa wanahudumia. Kofia zina mkanda unaoweza pitishwa chini ya kidevu kuzizuia zisianguke.
Ni kweli hata mimi nahisi kwa kutochomekea mashati yao, kunatunyima kuuona mkanda wenye bendera yetu ya taifa ambao tulizoea kuuona na ulituwezesha kuwatofauitisha na 'askari' wengine hasa wa makampuni binafsi ya ulinzi wanaosaidia kutupa ulinzi kwenye maeneo mengine. Pia rangi za bendera yetu ziliongeza mvuto kwenye sare zao ambao haupo kwa sasa.
 
Ninja atalifanyia kazi ushauri wako

Ova
 
Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana

Sidhani kama kuna amri ya namna hiyo, picha tuone!
 
Kwa ushonaji wa hayo mashati inaonekana wazi kuwa hayakubuniwa kwa ajili ya kuchomekea kwani yana mkato wa pembeni kwa chini kushoto na kulia.
Nadhani suruali zimeamriwa kuvaliwa kwa kuwa kwa mazingira ya kazi za askari wa usalama barabarani sketi zilikuwa na changamoto ya kupanda juu kunapokuwa na upepo mkali na kuwafanya wawe na wakati mgumu kujihifadhi wakati wakiwa wanahudumia. Kofia zina mkanda unaoweza pitishwa chini ya kidevu kuzizuia zisianguke.
Ni kweli hata mimi nahisi kwa kutochomekea mashati yao, kunatunyima kuuona mkanda wenye bendera yetu ya taifa ambao tulizoea kuuona na ulituwezesha kuwatofauitisha na 'askari' wengine hasa wa makampuni binafsi ya ulinzi wanaosaidia kutupa ulinzi kwenye maeneo mengine. Pia rangi za bendera yetu ziliongeza mvuto kwenye sare zao ambao haupo kwa sasa.
Umeona wanakuwa kama kiwango securty guard
 
Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana
Acha gubu,uniform inaweza kua haya gunia,ili mradi imepitishwa kwenye kanuni
Wewe huna shida ya mkanda umemiss kuona mapaja tu
 
Kwa ushonaji wa hayo mashati inaonekana wazi kuwa hayakubuniwa kwa ajili ya kuchomekea kwani yana mkato wa pembeni kwa chini kushoto na kulia.
Nadhani suruali zimeamriwa kuvaliwa kwa kuwa kwa mazingira ya kazi za askari wa usalama barabarani sketi zilikuwa na changamoto ya kupanda juu kunapokuwa na upepo mkali na kuwafanya wawe na wakati mgumu kujihifadhi wakati wakiwa wanahudumia. Kofia zina mkanda unaoweza pitishwa chini ya kidevu kuzizuia zisianguke.
Ni kweli hata mimi nahisi kwa kutochomekea mashati yao, kunatunyima kuuona mkanda wenye bendera yetu ya taifa ambao tulizoea kuuona na ulituwezesha kuwatofauitisha na 'askari' wengine hasa wa makampuni binafsi ya ulinzi wanaosaidia kutupa ulinzi kwenye maeneo mengine. Pia rangi za bendera yetu ziliongeza mvuto kwenye sare zao ambao haupo kwa sasa.
Yaani hata baba yao anawazidi maana yeye anaweka kwenye mifuko ya shati kabisa hiyo bendera yetu pendwa.
 
Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana
Hebu weka picha mkuu tuone kama wanapendeza au hawapendezi? Maana vijana mnatamani mwone makalio ya Polisi tu!!
 
Inatusaidia madereva Ku focus mbele na sio kuangalia Yale mamboz
 
Back
Top Bottom