JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Kuna tatizo la mila na tamaduni za baadhi ya makabila Kiteto kutoona haja ya kuwa na vyoo kwenye makazi yao.
Jambo hili limepuuzwa na hata wasimamizi wa sheria wakiona kama jambo la kawaida.
Ifahamike kuwa homa za matumbo kama kipindupindu kimejitokeza Mara kadhaa na watu kupoteza maisha.
Kana kwamba haitoshi Elimu imekuwa ikitolewa bila mafanikio jambo ambalo imeelezwa sheria ifuate mkondo wake.
Kwa mujibu wa kabila wenyeji wanasema wao hawawezi kujengea nyumba za kudumu vinyesi wakati mahali pakulala ni shida.
"Kwani kuna tatizo gani kama MTU ataamua kujisaidia porini, mbona kila Mara tunajisaidia hatuonintatizo? Alisema mmoja wa wananchi.
Mwisho