Date::9/7/2008
Slaa azituhumu Kamati za serikali kwa ufisadi
Tausi Mbowe
Mwananchi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbroad Slaa, amezituhumu baadhi ya...
Wakuu kuna hili jambo limempasua kichwa ndugu yangu ambae ni mlinzi kaambiwa kuchukua pesa zake hadi afikishe umri wa kustaafu sasa anajiuliza mikataba wanayopewa ni ya mwaka mmoja pia lindo...
Mwanza. Pacha walioungana kifuani wamezaliwa jana Julai 25 katika hospitali ya Rufaa ya Sekoutoure jijini Mwanza.
Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Bahati Mseki amethibitisha watoto hao kuzaliwa...
Pasipo na kupepesa maneno kauli na matendo ya polisi yameendelea kuwa ya kutiliwa shaka. Hii ni pamoja na sifa nyingi tokea kwa walioko madarakani (ambao aghalabu adha zao haziwakuti) ati kuwa...
Habar wana JF, hv kuna mahusiano gani kati ya dini na sayansi?
Yani namaanisha maswali ambayo yana majibu kwny sayansi basi yanampinga MUNGU na yakikosa majibu jibu huwa n mpango wa MUNGU
Kwa...
Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na Mbunge wa Segerea Bonna Kaluwa amemtembelea na kujionea eneo linalotakiwa kujengwa Daraja la Mto Kinyerezi ambapo amesema atatuma wataalam wake kufanya...
Mkoa wa Ruvuma ni mkoa unaopakana na nchi ya msumbiji na malawi kwa upande wa kusini lakini mkoa huu pia hauna itikadi kinzani za kisiasa yaani unaongozwa na Chama tawala katika majimbo karibia...
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara, Chelestino Mofuga leo amesimamia shughuli ya kuteketezwa kwa moto kwa nyumba sita wilayani humo kwa kukaidi agizo la serikali la kuondoka ndani ya siku...
Wakaazi wa shehia ya Chumbuni wamepatwa na hofu kubwa baada ya madai ya kutokewa na paka ambaye anahusishwa na masuala ya ushirikina.
Wakingumza na Azam news baadhi ya wakazi hao wamesema paka...
KAGERA TANZANIA:Mkazi mmoja wa ngara mkoani kagera ameanza kuoza mwili wake kwa ukosefu wa matibabu.
Mkazi huyo aliyetambulika kwa jina la Gwasa Jacob (40) inasemekana alipata ajali maeneo ya...
Basi la Kampuni ya Tahmeed Coach lililokuwa likitokea Mombasa nchini Kenya kuja Dar es Salaam limewaka moto na kuteketea kabisa mpakani maeneo ya Lugaluga. Hakuna taarifa za vifo zilizoripotiwa...
Habari wakuu
Mimi si mwandishi mzuri
Lakini hili tukio limenikwaza mpaka
Hata link sijui namna yakuweka lakini ukiicopy ukaifungua kwa browser waweza kuona hiyo video ya askari mshenzi na mnyanyasaji
Habari wanajamii
Samahani kuna mama mmoja ameomba nimtangazie yaan yuko katika hali mbaya sana. Ana watoto watatu wadogo sana na mwingine anasoma.
Mama huyo hana kazi,hata hela ya kula...
Chato. Mkazi wa Kijiji cha Rubambangwe Kata ya Muungano wilayani Chato Mkoa wa Geita, Pascal Kanyembe (39) anadaiwa kufariki dunia akiwa mikononi mwa askari wa doria.
Kanyembe alifariki dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.