Ubora wa TV za Boss

Ubora wa TV za Boss

Ngahekapahi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
553
Reaction score
371
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba kupata uzoefu juu ubora wa TV za BOSS. Kwa picha zile 4k kuanzia 55 inch na 65 inch zinaonekana vizuri. But sijajua kuhusu durabilitu yake na matatizo yake. Kwa wenye ufahamu tafadhali.
 
Bosi kwa vifaa vyetu tunavyotumia vya umeme Hazifai .. labda ununue na vile vidhibiti umeme, nnazo nchi 50 mbili zimelala .nimehamia LG
 
Doh pole sana mkuu. Nimekuwa nikitumia sony kwa muda mrefu but sasa nataka 55 inch but kwa Sony ni ghali sana hasa kwa uchumi wa sasa
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba kupata uzoefu juu ubora wa TV za BOSS. Kwa picha zile 4k kuanzia 55 inch na 65 inch zinaonekana vizuri. But sijajua kuhusu durabilitu yake na matatizo yake. Kwa wenye ufahamu tafadhali.
Mtoa mada uliomba mwongozo wa kitu muhimu sana, vipi ulichukua maamuzi gani? Uliwavaa hawa boss? Hii inchi 55 kwakweli inanivutia sana kwa bei yake
 
Back
Top Bottom