Msaada: Kuhusu ilipo Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya

Msaada: Kuhusu ilipo Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya

mutu murefu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
1,037
Reaction score
2,737
Habari za muda huu wakuu.
Mimi si mwenyeji wa mbeya lakini huwa naenda mara nyingi. Sasa kuna swali linanitatiza na nimeuliza nakosa majibu.

Hivyo naomba kujue je "HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA" ni ile iliopo pale soko matola au ile ya kule ushuani forest hill?

Kuuliza si ujinga.
Naombeni msaada wenu wenyeji wa mbeya.
 
Iliyo kule sokomatola
 
Hii masaa n ya morning Glory
 
Panda hice zinazoenda stand kuu,utakuta ktuo kinaitwa rufaa, utakuwa umefka, coz hospital ipo barabaran tuu, hii ni kwa Wale watokeao upande wa mashark mwa jiji la mbeya
 
Kwa saiv hospital ya rufaa ya mkoa ni iliyopo forest
 
Habari za muda huu wakuu.
Mimi si mwenyeji wa mbeya lakini huwa naenda mara nyingi. Sasa kuna swali linanitatiza na nimeuliza nakosa majibu.

Hivyo naomba kujue je "HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA" ni ile iliopo pale soko matola au ile ya kule ushuani forest hill?

Kuuliza si ujinga.
Naombeni msaada wenu wenyeji wa mbeya.
bara bara inayoelekea soko matola opposite na kota za polisi, kama sijasahau, ipo barabarani kabisa
 
Siyo kila kitu kuuliza.weupe wemeweka google maps ndiyo kazi yake hiyo. Ukienda nchi za watu hakuna wa kuuliza
 
Ipo mbele pale kwenye mkusanyiko wa hizo daladala kwenye pichaView attachment 823976
mbeya.jpg
 
Hosp ya rufaa mbeya ipo mjini eneo la uzunguni siku za nyuma huko ilikuwa kata ya sisimba sijui kwa sasa mabasi madogo yaendayo soko matola yote lazima yapite hapo jirani
 
Watu wamekujibu mapicha picha, hospital ya rufaa ya mkoa Mbeya ipo Forest hill,daladala za Mbalizi unashuka maghorofani.Ile ya Uzunguni (sokomatola) ni hispital ya rufaa ya kanda.
 
Back
Top Bottom