mwitasa
Senior Member
- Dec 28, 2013
- 199
- 491
Kwa wale wa imani ya kikiristu Moja ya amri za Mungu ni kuwa "usiue". Nimekaa natafakari mfano niko nyumbani kwangu mara majambazi yenye bunduki waingie nyumbani kwa lengo la kunidhuru au kunipora mali je nikiwawahi katika hali ya kujitetea au kujihami nikaua mmoja wao nitakuwa nimetenda dhambi ya kuua?