Mradi wa barabara ya Kata ya Makongoro Kigoma unaodaiwa kujengwa kwa milion 62 yenye urefu wa 4km umekuwa ukilalamikiwa na Diwani wa kata hiyo Clayton Chipando (Baba Levo) kuwa haujajengwa kwa...
Raymond Minja, Iringa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Iringa imetoa taarifa ya utendaji wake kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu...
Ni operesheni tokomeza Ajari
walioletewa leseni nyumbani kunyakuliwa kwenda jela miezi 6
Mda wowote kuanzia sasa dereva utapaswa
utembee na leseni yako Hai ya udereva
utembee na cheti cha...
Amani iwe kwenu!
Katika familia yetu yenye watoto wasiopungua 17 usiniulize kwa wanawake wangapi mzee wetu alijitahidi sana kutupeleka shule akijua akituacha bila kusoma huenda kuna siku tukamtoa...
Black hole (physics) ni nini?
naanza, kama escape velocity yako (escape velocity ni velocity ambayo inahitajika kuishinda nguvu ya uvutano au gravity, kwa maana nyingine kama ukirusha kitu labda...
Katika nchi nyingine pana mamlaka rasmi ambazo pasipo na kumung'unya maneno askari usalama barabarani hufuatiliwa kwa karibu ili kuona magugu maji yanaishia kunako stahili.
Sina hakika hapa kwetu...
Bila kupoteza muda naomba kujua juu ya msitu mkubwa sana wa kupandwa wa sao hill pale iringa Tanzania
1. Ulipandwa mwaka gani
2.rais yupi aliuanzisha
3.madhumuni yalikuwa yepi
4.una ukubwa...
Ndugu zangu nayaandika aya kwa masikitiko makubwa kuona nchi haina muelekeo kila mtawala anayekuja anakuja na sera yake utadhani nchi ni mali ya mtu binafsi leo sio Ccm wala chama kikuu cha...
Serikali imewaondoa wachimbaji wa spino epanko mahenge kwa madai madini hayo hayawanufaishi wa kazi wa mahenge.Madini hayo yanaishia Arusha,Mungu alivyo hana mabadala madini hayo yamegundulika...
HABARI WANA JAMVI
HOPE KUNA WATAALAMU WENGI TU HUMU WAKUTOSHA
MWENZENU NATUMIA SANA MB I MEAN BUNDLE KWA SIKU
nimejaribu ku download cyberghost ila bado sijapata ufahamu na mtu ambaye alisha...
Pana wizi wa wazi unaotokea barabarani ambao kama hautapigiwa kelele katu wanaonufaika nao hawata kaa kuusemea.
1. Camera wanazotumia kupima mwendo kwa jina lao tochi zinapima relative speed wala...
Jamani kwa wale ambao mnatumia njia ya chini, Old bagamoyo road a.k.a Mwai Kibaki road, na kuweka mafuta kwenye petrol station ya OILCOM iliyopo maeneo ya Reinbow pale panapouzwa samaki (Njia...
HENGA CONSTRUCTION AGENT
Je unataka kujenga nyumba kwa bei rahisi?
-Wanajenga nyumba kwa bei rahisi
-Wanatathimini gharama za vifaa vyote pamoja na gharama za ujenzi
-Wanapaua vizuri na kwa bei...
Habari za leo wanajukwaa,
Ndugu yenu nimeamua kuja na Uzi unaoitwa 'USILOLIJUA' lengo la uzi huu ni kila mchangiaji au mwanajukwaa kutujuza kile ambacho anaamini kuwa anakijua au kukifaham vzr...
1. Wale ambao hawakusoma na hivyo hawana ajira serikalini wanafurahi wafanyakazi wanapoonewa na serikali.. KUWA TUMEKUWAA SAWA WASITULINGIE
2. Wasio na ajira serikalini wanafurahi wafanyakazi...
Ukitembelea maofisi/Makampuni au taasisi mbalimbali ni lazima awepo
mtu Mmoja ni kiherehere sana, yaani yule kimbelembele ambae kitu au jambo dogo tu likitokea lazima akifikishe kwa bosi...
Sipendi udini, siungi mkono udini,
Kwa hili yeriko la kuukashifu uislam na kudai ni dini tu ilokuja na jahazi na inaleta shida nchini ujitafakari sana aisee
Ujifunze kuwa na emotional control...
This is so powerfull ....Pledge zinazoendelea zinatia Moyo , na zinaonyesha Nguvu na mshikamano.
Nimeuona ubinaadamu kupitia social media.
Ni kampeni maalumu ya kurise fund kwa ajili ya matibabu...
Utafiti wa british psychopath survey, umebaini kuwa watu wengi wenye psychopathy ni viongozi wakuu(leaders) , ma CEO wa makampuni wenye ukwasi mkubwa , yaani matajiri wenye kumiliki mali ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.