Hivi haki yetu watembea kwa miguu haipo tena hapa Dar-es-Salaam, na Tanzania kwa ujumla?
Leo nilitembelea maaeneo ya Kariakoo hasa barabara ya msimbazi, pedestrian walk zote zimegeuka pahala pa...
Habari za mida hii wadau wa Jf ,Leo nimepatwa na tatizo naomba msada wa ufumbuzi kidogo,swala lipo kama hivi,mnano tarehe 21/07/2018 nilifanya biashara na jamaa mmoja ambaye niliwasiliana naye...
Kwa sasa hapa Tanzania Uwakili ni dili,ukiwa na Kesi inayohitaji Wakili unafikiria mara mbili maana gharama za Wakili ni kubwa sana.
Na hata hali ya kifedha ya Mawakili ni si haba hapa Tanzania...
Kundi la wananchi wakazi wa Mtaa wa Nyakabungo jijini Mwanza wameteketeza kwa moto nyumba za kaya sita zenye watu zaidi ya 40 kushinikiza zihame zikituhumiwa kuhifadhi wahalifu.
Watu hao...
Wakuu bila shaka mko poa,
Kuna tweet moja trump akiwaonya Iran kaiandika kwa herufi kubwa the whole tweet sasa kwa sababu ni Trump watu wanasema ile ilikua ni kutilia msisitizo ujumbe wake (maybe...
Ifuatayo ni list ya Vyuo vikuu hapa Tanzania,.. Na nafasi yake kwenye list ya Vyuo vikuu Duniani.
MODS UACHENI HUU UZI HAPA.. MSIUPELEKE KWENYE JUKWAA LA ELIMU.. NTAUPELEKA MWENYEWE.
Best...
Taarifa za uhakika ambazo nimezipata kutoka Jijini Arusha kuna mtoto wa Miaka 13 Amepotea kuanzia siku ya jumamosi jioni ...
Anaitwa Norini Alex Mrima amepotea kuanzia siku ya jumamosi jioni...
Tunapongeza ujenzi unaoendelea huu wa Bara Bara za kiwango cha Lami huku mtoni kijichi ila wasiwasi wangu ni style ya kuchimbiwa mifereji upande mmoja tu wa Bara Bara nina wasiwasi hili lisije...
Habari zenu wakuu
Nakuja mbele yenu leo ndugu yenu kijana "mwanaume" nimekwama kabisa katika suala zima la kapata ajira.
Najua hapa JF kuna watu wenye nafasi mbalimbali makazini pia naweza...
Wakuu inasemekana katika hii vita, mfalme mkuu (Alexander the great) alikuwa na jeshi dogo mno, dhidi ya mfalme wa Persia Darius, inasemekana jeshi la Alexander lilikuwa linaingia takribani mara...
Wana Jf
Hii inachosha sana, hivi mwaka huu wa fedha palikuwepo au hapakuwepo na mpango wa kuongeza mishahara? waziri mkuu alisema mishahara ni siri hawawezi kutangaza wataongeza kiasi gani sasa...
Askari kwenye Mji wa Hamburg huko nchini Ujerumani wametumia maji ya kwenye magari ya
washa washa kumwagilia maua na miti ambayo imekauka, hii ni baada ya magari hayo kukosa kazi, eti hakuna...
wale wenzangu na mimi waliofukuzwa kazi (termination) au kuustaafishwa haya fulsa iyo hapo punde mpatapo ayo mahela msitusahau hata kwa 1000 ya mb's.tembelea kwenye tovuti yao kwa maelezo zaidi
Wazungu ndiyo kundi ambalo lina Utamaduni wa kipekee ambapo Muoaji huchagua Mke kulingana na vigezo anavyovipenda yeye, kwa mfano rangi ya nywele, macho, kimo, umbo, tabia na hata akili, tofauti...
Kila ifikapo saa moja asubuhi, trafiki huwa wanatabia ya kuifunga barabara ya Kimara mwisho ili kuvuta magari ya Mbezi.
Sasa najiuliza lengo la kufanya hivi ni kuwasaidia watu wa Mbezi wawahi...
Kwa speed hii ya Rais wa awamu ya tano katika kuhakikisha tunakuwa na miundo mbinu au miundi msingi imara na ya kisasa ili kuharakisha masuala mazima ya usafiri na usafirishaji bado muonekano kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.