Mazabuka
Member
- Jul 22, 2018
- 11
- 14
Hili linanipa shida sana kwenye Masikio yangu ya asili, nimekuwa nikizisikia sauti za wazazi, walezi, na walimwengu wakimkanya binadamu huyu mwerevu asithubutu kufanyanae urafiki na huyu binadam mjinga na wakiamini huyu binadam mwerevu ni rahisi mno kuvaa viatu vya binadam mjinga,
Tabu yangu inaanzia hapa inakuwaje huyu binadam mwerevu tunae muamini na tumempa sifa ya uerevu ashindwe kumthibiti binadam mjinga asimwambukize kwa Mara ya pili hili gonjwa la ujinga,
Au funguo za mwerevu anatembea nazo mjinga?
Mtanisamehe kama nitakuwa nimewakwaza binadam werevu.
Kila kitu kitajaa lakini kamwe moyo haujai