Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vilio, simanzi na majonzi vilitawala vimetawala wakati mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akiongoza maziko ya aliyekuwa ofisa habari wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Hamza Temba...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi salamu! Baada ya mvutano wa muda mrefu na kutunishiana misuli baina ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa sana Paul Makonda na chombo cha habari cha Clouds media hatimaye Clouds...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako amewataka wazazi nchini kuwahimiza watoto kusoma masomo ya sayansi ili kuongeza idadi ya wahandisi watakaofanya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kinyerezi shule hali si shwari. Polisi njooooooo!
0 Reactions
31 Replies
5K Views
"Mwalimu aliingia darasani na kuwaonesha wanafunzi noti ya fedha ya shilingi elfu kumi. Ilikuwa mpya kutoka bank. Akawauliza wanafunzi kuwa ile noti ina thamani gani, wote wakajibu elfu kumi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi kama mdau wa media na mtu ambaye napenda kusikiliza redio wakati nipo free kufanya hivyo naandika haya yafuatayo kuhusiana na kudorora kwa East Africa Redio ya mzee R.Mengi.. Uwepo wa...
3 Reactions
241 Replies
39K Views
*TUMIA DAKIKA 3 KUSOMA HII* Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana. Mara akakutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift. Ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wadau wa jukwaa hili Nina shida ya kuonana na Hoyce Temu, ninahitaji kufahamu je kipindi chake cha Mimi na Tanzania kinaendelea? Je ofisi zake ziko wapi? Naomba kuelekezwa au hata mwenye...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari za jumapili ya leo wapendwa wanaJamiiForums. Leo katika kanisa la Kiinjili la kiluteri Tanzania, Singida Usharika wa Emanueli (msalaba mrefu) Nimetokea kupenda kauli ya msaidizi wa...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
WANANCHI karibu na eneo la ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Mto Rufi ji, Stiegler’s Gorge wameanza kunufaika na ajira kwenye mradi huo hata kabla ya kuanza rasmi kwa utekelezaji wake. Mradi huo...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema kuwa unaendelea kuboresha mafao yake na kupanua wigo wa wanachama ili kuwafikia wananchi wengi kupitia makundi mbalimbali wakiwemo wakulima. Meneja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea...
3 Reactions
49 Replies
11K Views
BENKI ya NBC inatarajia kutoa mikopo kwa wakulima, wavuvi na wafugaji ikiwa ni hatua ya kuwekeza katika maendeleo ya wananchi. Akizungumza na waandishi kwenye banda la benki hiyo katika maonesho...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Watu wa Mpanda kumbe wana uhusiano wa karibu sana na watu wa Tabora wameniambia hata wanasikilizana, ...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Naomba kupata ufafanuzia kuhusu jina la huyu waziri mkuu wetu mchapa kazi mzalendo ni lipi kati ya hayo? Nime sikia kwenye habari wana muita Khasim Majaliwa Majaliwa na mimi nilikua najua ni...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba niwe wa Kwanza kuanza kukupa ' Pongezi ' zangu za dhati kabisa kwani najua very soon unaenda kutoka kuwa ' Mswahili ' wa Jangwani na kwenda kuwa ' Mtawala ' mstaarabu. Naamini sasa ile...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu, Binafsi ni survivor wa mambo mengi, nimekuwa kibingwa na kwa kujichunga mwenyewe, kiasi kwamba wengi sana wamenikosea maishani; kuniibia, kunidhurumu, etc na wengi nawafahamu kabisa na...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Habar wakuu! mimi ni muumini wa dhehebu la katoliki, kumekuwa na simtofaham baina ya sisi wakatoliki kuhusu nafas ya pengo katika baraza la maaskofu tanzania! jana nilikuwa nabishana na jamaa...
1 Reactions
156 Replies
22K Views
kila siku iendayo Kwa mungu mwenzenu naiota ota mahakama ya kimataifa pale the Hague pia namuota ota mwanamama fatou bensouda hata hivyo nimegundua hii ndoto ni kama nyingine tu kwahiyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…