Jana tuliambiwa dreamliner yetu ilipata na abiria 400+ kwenda na kurudi Mwanza, idadi hii ni pamoja na kujaza wafanyakazi wa serikali waliolipiwa na wanaCCM kina polepole waliopewa ofa ya kwenda...
July 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.Kangi Lugola alitoa siku 10 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) Bw.Andrew W. Massawe, kufika ofisini kwake Dodoma kutolea...
Ni wazi bila kificho kuwa Nchi yetu bado ni masikini sana na ni haki ya kikatiba na kidemokrasia kwa Mtanzania yeyote kuhama na kujiunga na chama chochote kwa kadri apendavyo.
Hivi karibuni...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amepokea barua kutoka kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara ya kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiuzulu wadhifa huo.
Ndugai amesema hayo leo Jumatatu...
Wana Jamvi,
Ninaswali tunasoma katika vitabu vya Dini zote kuwa Mungu aliumba Mbingu na nchi na vilivyomo vyote sawa nakubaliana navitabu hivyo swali langu je Hizi sayari 8 zilizobaki aliziumba...
Kikosi cha Ukaguzi cha Mamlaka ya Jaji safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Dodoma (DUWASA) kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamemkamata Mkurugenzi wa Chuo cha Mafunzo ya upishi cha Dati...
Imezoeleweka katika jamii zinazojinasibu kuwa zilizostaarabika kudharau ama kuchukulia mate kama ni uchafu.
Pamoja pia na kuwa kichochezi kizuri sana juu ya swala mapenzi kwa njia ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasimamisha kazi Watumishi watatu wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu
> Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo kutokana na watumishi hao kutuhumiwa kwa kujihusisha na wizi...
Kuwepo na utaratibu wa kukagua bikira za wanafunzi kwanzia shule za msingi mpaka kidato cha sita.
Utaratibu huu utasaidia kupunguza mimba na magonjwa ya zinaa kwa watoto wakike na kuwafanya...
Mkusanyiko wa Hazina za kale na Kumbukumbu zake. Nmeamua kuanzisha uzi huu mara baada ya kuona member mmoja akitumia avatar ya Logo ya Shell.
Akili yangu ghafla ikapaa na kwenda miaka ya nyuma...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, WILLIAM LUKUVI amesema suala la urasimishaji wa ardhi litasimamiwa na maofi sa wa ardhi wilaya badala ya madiwani na viongozi wa serikali za mitaa...
Madeni NMB 5,80,000 per month miaka 5
Nilijenga ,nikanunua mashamba kuwekeza
Mshahara kwa sasa laki 5+
Nyumbani mama mzazi ni tegemezi na madogo 2
Mfanyakazi namlipa mimi
Bill ya maji mimi...
Mambo ynayotukwamisha ktk maisha ht sio makubwa ni vtu vidogo vidogo ambvyo kama mtu akivifanyia kazi vzr vinaweza kubadlisha sehem ya maisha yke watu wengi tunapenda kufnya mabadiliko nusu...
UJUMBE WA WAZI KWA CLOUDS MEDIA
Binafsi niweke wazi kuwa sina tatizo na Clouds Media Group na nimekuwa mpenzi wa vipindi vya CMG kuanzia 2002.
Nakumbuka kuvutiwa na Jingle ile ya sauti ya zege...
From Jokate - Amini Mungu ni mwingi wa rehema kamwe hamtupi amtumainiye yeye!! Ahsante Mungu Wangu.
Labda ni-share kitu kidogo, kuna muda mwaka jana mwishoni nilikuwa so down nilitamani kukata...
Badala yake itumie Taasisi zake kama vile NHC au tba kwenye hayo maeneo waliyoyatenga wajenge nyumba halafu hizo Balozi kama wakitaka kuhamia Dodoma wanunue au kupanga ktk kwa Mashirika yetu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.