Kila siku naiota the hague hivi kwanini?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
kila siku iendayo Kwa mungu mwenzenu naiota ota mahakama ya kimataifa pale the Hague pia namuota ota mwanamama fatou bensouda

hata hivyo nimegundua hii ndoto ni kama nyingine tu kwahiyo haintishi nalala usiku mwema
 
Mkuu huoti nchi yetu inakuwa donor country??
 
kila siku iendayo Kwa mungu mwenzenu naiota ota mahakama ya kimataifa pale the Hague pia namuota ota mwanamama fatou bensouda

hata hivyo nimegundua hii ndoto ni kama nyingine tu kwahiyo haintishi nalala usiku mwema
Nimecheka....hujamuota nanihiii kweli yupo The Hague? Jaribu kuota tena
 
Back
Top Bottom