Ogopa sana kushindana na mtu aliyepoteza mwelekeo wa maisha....mtu huyo ni hatari sana kwani hana cha kupoteza wala hana mpango wowote na maisha yake ya baadaye kutokana na kujikatia tamaa...
Siku moja tulikuwa na safari ya kusindikiza maiti kijiji Fulani, Pasipo Bahati
nilichelewa kwenye gari ambalo lilibeba wanaume. Nikalazimika kupanda
Landrover 110 pickup ukiacha dereva mimi ndiye...
Kuna tatizo la mila na tamaduni za baadhi ya makabila Kiteto kutoona haja ya kuwa na vyoo kwenye makazi yao.
Jambo hili limepuuzwa na hata wasimamizi wa sheria wakiona kama jambo la kawaida...
Nani muanzilishi?
Inakusudi gani katika jamii?
kwani kabla ya uwepo wake, watu walikuwa wanapambana na hali za nani?
Je, inauhusiano wowote na siasa?
Kila mtu akipambana na hali yake, hakuna...
Haya n maono Takatifu kwa jeshi letu;
Pale N.I.T pana mwitikio mzuri Wa madereva kwenda kusoma hadi wengine wameanza kupangiwa tarehe za mbali za kuanza masomo kutokana na msongamani;
Ombi langu...
Habari za muda huu wakuu.
Mimi si mwenyeji wa mbeya lakini huwa naenda mara nyingi. Sasa kuna swali linanitatiza na nimeuliza nakosa majibu.
Hivyo naomba kujue je "HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba kupata uzoefu juu ubora wa TV za BOSS. Kwa picha zile 4k kuanzia 55 inch na 65 inch zinaonekana vizuri. But sijajua kuhusu durabilitu yake na matatizo...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Kamishna wa Uhamiaji kutotoa kibali kwa Mtanzania yeyote kuondoka nchini kwa madai ya kupata kazi nje ya nchi bila kujiridhisha kuwa anayo...
Majira ya saa saba usiku nikiwa nimetoka bar akili ikiwa imeshachoka kutokana na balimi tisa nilizopiga, nilikuwa nakatiza mtaa wa mkwajuni karibu na makaburi ya wahenga wa mtaa huo uliopo maeneo...
Shule za ufundi zimetakiwa kuuza ramani za majengo zinazobuniwa na kuchorwa na wanafunzi wakati wanapokuwa mashuleni ili kuwaingizia kipato.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Mbulu...
Hili la picha za "kudhalilisha" za Waheshimiwa Wateule lituachie funzo Wanajamii
Jamii yetu imejikuta kwenye mjadala mkali baada ya baadhi ya Waheshimiwa Wateule picha na video zao za utupu...
1. TALA License
2. EURA taxlYo charged by TANESCO from October 2009
3. REA tax 3Yo charyed by TANESCO from October 2009
4. VAT
5. Corporation Tax
6. Withholding Tax
7. Stamp duty n '
8...
Leo katika kipindi flani cha redio nilikuwa nikimsikiliza mchambuzi flani wa maswala ya marafiki redio free lakini ambacho amezungumza kuhusu marafiki ambao ni wachawi katika maisha yako ni wale...
Hili limetokea kwenye nyumba mbili tatu maeneo ya Goba.
Vibaka wawili au hata 3 wanavizia saa 2 kamili ya usiku wanarukia ukuta na kuingia ndani ya nyumba. Kwa kawaida nyumba nyingi muda huo ni...
Kwenye kipindi cha tatu mzuka kinachorushwa live usiku huu capital TV, ITV na Clouds TV namuona anaiga swaga za Sam Mahela kuongea na hadi ile staili ya kukwepesha mikono hadi usimamaji studio...
Dada huyu ndiye mzazi wa huyo mtoto kando yake. Kwa maelezo yake hakuupenda wala hajufurahishwa na kupata ujazito na hatimaye uzazi wa huyu mtoto. Anaamini hili limeathiri mapenzi na malezi ya...
habari za weekend bandugu mle mhala ? Okay nisiwachoshe leo nimeyaona ya mussa kama sio ya filauni hivi ni kweli ndege imekua ni jambo la kusheherekea kweli wabongo bado tuna safari ndefu cha...
Kiutaratibu, ni lazima mtu ahudhurie mafunzo ya udereva, ajaribiwe na mamlaka husika ( Traffic) ndipo apewe leseni ya udereva.
Sasa hapa naona tunshindwa kuelewa.
Ilikuwaje madereva wakapata...
Wadau wa jf hivi nisahihi chakula anachokula binadamu kutiwa mafuta ya taa? Kama hamna je wanaotufanyia hivyo mashuleni kwetu kwa lengo la kutupunguza mihemuko wanapata wapi kibali hicho(uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.