Nimekumbuka maneno ya mwalimu wangu

Nimekumbuka maneno ya mwalimu wangu

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
705
Reaction score
905
Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo unavyoviona wanapatiana wao kwa wao ninyi watoto wa maskini mnadanganywa na kutumiwa"


Leo ndio nimeamini alichokuwa akisema ni sahihi.
 
Umeamini vip mkubwa? Maana wengine hatujazipata za nyuma ya pazia.
 
Hamia chadema ukamiminwe mimba upate viti maalumu
 
Moyo wangu umeumia sana tumekesha usiku na mchana kujenga na kuimarisha chama nafasi wanapewa kijana wa Issa michuzi,Hayati komba ambao hawakuwai japo kusema Ccm oyeee
 
Hahaha kweli lakini,pole sana
Hizo nafasi zina wenyewe,kama mtu unakesha ukiziota halafu umetoka familia ya kikapuku na huna koneksheni,utasubiri sana,infact utapata tabu sana
 
Moyo wangu umeumia sana tumekesha usiku na mchana kujenga na kuimarisha chama nafasi wanapewa kijana wa Issa michuzi,Hayati komba ambao hawakuwai japo kusema Ccm oyeee
Aloo teh teh teh,ila pole sana
Ndio maisha na matabaka
Jipe moyo,utayashinda
 
Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo unavyoviona wanapatiana wao kwa wao ninyi watoto wa maskini mnadanganywa na kutumiwa"


Leo ndio nimeamini alichokuwa akisema ni sahihi.
Vipi mkuu umekatwa ???

Ila kuna ka ukweli ndani yake watu walioko kwenye system ni ngumu sana kuingiza damu mpya.....

Bora tuendelee kutafuta nafasi huku CHADEMA
 
Bado sasa subiri 2020 utashuhudia mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom