Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Wanajamvi salamu!
Baada ya mvutano wa muda mrefu na kutunishiana misuli baina ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa sana Paul Makonda na chombo cha habari cha Clouds media hatimaye Clouds media wamuangukia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na kumuomba radhi kiaina.
Hii imejidhihirisha leo baada ya Clouds media kumwalika kwenye ndondo cup mkuu huyo wa mkoa na kumtunuku medali ya heshima.
Kitendo hiki cha clouds media kinategemewa kumaliza kabisa uhasama na kizungumkuti kwa muda mrefu
Binafsi niwatakie kila la kheri