Yamenikuta aisee

Yamenikuta aisee

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
Habari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea huwa najisikia raha sana ,sauti yake inanikosha vilivyo ,I wish one day I gone meet with her japo nimshike mkono ,Dada popote ulipo heshima yako sana,I salute you
 
Sasa picha iko wapi mi mwenyewe simjui kwani yukoje
 
Mkuu weka picha,wengine hatumjui mkuu
 
Niambie ukweli.

Umemasturbate mara ngapi ukimuwazia yeye?
 
Hata mimi katika watangazaji wakike ninamkubali sana pamoja na beby kabaye wa clouds 360,zuhura yunus wa Dira ya dunia
 
Una hela weweee?

Huwezi Kuvutiwa na utendaji Wa kazi kama haujawahi kufanya nae kazi

Ila umevutiwa na Sauti pia sauti sio utendaji kazi

Ila in hisia zako za kungonoka tu hizo
 
[QUOTE="proxy, post: 27843260, member: 373761"]I gone meet with her[/QUOTE]
yes let's gone together🙄
 
Hata mimi katika watangazaji wakike ninamkubali sana pamoja na beby kabaye wa clouds 360,zuhura yunus wa Dira ya dunia
Popote ulipo mama ,heshima yako
Screenshot_20180805-133629_1533465428793.jpg
 
Habari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea huwa najisikia raha sana ,sauti yake inanikosha vilivyo ,I wish one day I gone meet with her japo nimshike mkono ,Dada popote ulipo heshima yako sana,I salute you
Kwa kingereza kibovu ulichoandika hapa, "you won't gonna meet her boy"
 
Una hela weweee?

Huwezi Kuvutiwa na utendaji Wa kazi kama haujawahi kufanya nae kazi

Ila umevutiwa na Sauti pia sauti sio utendaji kazi

Ila in hisia zako za kungonoka tu hizo
Hela ya nini tena mkuu?
 
Back
Top Bottom