Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara inakabiliwa na changamoto za kielimu, ambapo kuna uhaba wa walimu, vyumba vya madarasa , nyumba za walimu vitabu vya kiada na ziada..
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, amesema serikali itachukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa...
Great day my friend, you look great on your uploaded pictures!!! First of all thank you for accepting me as one of your friend on facebook. By the way I'm GEMMA BALIN MATIAS from the Philippines...
Nachukua nafasi hii kumpongeza Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete mungu akubariki na akupe maisha marefu kwa sababu usingekuwa wewe hakika nisingepata elimu ya chuo kikuu
Wakati nakaribia kufanya...
Maswali na Majibu kuhusu Ukaguzi wa Leseni ya Udereva
1. Je ni Madereva baadhi au wote wanahitajika kukaguliwa Leseni zao?
_Zoezi la kuhakikiwa Leseni ni kwa Madereva WOTE wanaomiliki Leseni za...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi kuendesha msako wa nyumba kwa nyumba, mashamba na madanguro kunusuru waathirika wa biashara haramu ya usafirishaji...
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema umeme wa mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge ndiyo utatumika kuendeshea treni mpya ya umeme.
Dk. Kalemani ameyasema hayo leo Mjini Morogoro, kwenye...
Hello wanajamvi,
Jamani leo nimepita maeneo fulahani nimejisikia kutoa machozi kabisa kwa hichi nilichokiona Sasa wadau Kuna Bibi alikuwa na wajukuu Kama watatu hivi anawalea yeye baada ya...
Kwa mujibu wa dini flani ya kikristo inatambua uwepo wa watakatifu na katika sala hutajwa ili watuombee.Sasa nimekaa nikajiuliza kwa nn majina ya makabira yetu huku huwa siyasikii??
Au ndo dhambi...
Jumla ya vijiji 107 wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma vipo katika mpango wa kunufaika na hati za kimila za umiliki wa rasilimali ardhi chini ya Mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za...
Semitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo...
Waungwana kila kuchapo huwa najiuliza maswali kadhaa na kukosa majibu sahihi kuwa hivi tunaposema nchi imepanda kiuchumi tunaangalia nini? Je maisha bora kwa mwananchi au ubora wa huduma za jamii...
Kulikua na baba mmoja alikua na shamba kuuubwa limejaa miiba. Kila akitaka kulisafisha.. Miiba ilikuwa kikwazo kwake.
Miaka mingi ilipita hakulima shamba lake sababu ya miiba. Kipindi cha njaa...
Nilitembelea mkoa huko kanda ya ziwa, nilikuwa na mizigo yangu mingi sana
Baada ya kushuka kwenye basi, niliona lundo la vijana wakija kwa kasi sana na mikokoteni yao, walikuwa sio chini ya 8...
KUSUHU WALIMU WA SEKONDARI KUPELEKWA SHULE ZA MSINGI.
Serikali ina miaka takribani 3 haijatoa AJIRA, hivyo Walimu waliomaliza vyuo wenye Digrii wapo wengi mtaani, Ambaye hataki kwenda kufundisha...
Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og
Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao
Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha...
Hili linanipa shida sana kwenye Masikio yangu ya asili, nimekuwa nikizisikia sauti za wazazi, walezi, na walimwengu wakimkanya binadamu huyu mwerevu asithubutu kufanyanae urafiki na huyu binadam...
Kwa mujibu wa habari ITV kuna ajali imetokea huko Chato na watu 2 wamepoteza maisha.
Ajali hii ilihusisha gari la Serikali la waziri mmoja ambaye kwa habari hizo mkuu huyo alijeruhiwa.
-
Miendo...
Tukirejea kauli ya mkuu wa nchi kuwa hawa watu wasisumbuliwe, lakini kuna baadhi ya maeneo mtu mwenye akili timamu ukipita lazima upate kichefuchefu.
kwa watumiaji wa mandela road mradi wa...
Kwa wale wa imani ya kikiristu Moja ya amri za Mungu ni kuwa "usiue". Nimekaa natafakari mfano niko nyumbani kwangu mara majambazi yenye bunduki waingie nyumbani kwa lengo la kunidhuru au kunipora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.