Waziri wa Maji na Umwagiliaji tumepata taarifa uko mkoani Kilimanjaro kuna mambo ambayo tunaomba uyatupie macho wakati wa ziara yako moja wapo ni huu mradi wa maji taka ambao bomba lake limepita...
Habarini wadau, Natumai mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu hawa vijana wanaojiita boda boda.
Hawa watu ni watu wa ajabu mno na sijui leseni zao wanazitoaga wapi. Unakuwa...
Wengine hawana za kuwatibu maradhi yao,
Wengine hukosa hata ya kulipia kodi
Kama pesa ni ya Mungu kwa nini asitupe za kutosha sisi binadamu ili kugaramia mahitaji yetu bila kuomba omba au kutaka...
Mtandao maarufu kwa usiri wa Telegram umepotea hewani dunia nzima huku mwanzilishi mwenza, Pavel Durov akiripoti sever zao kupata joto lisilo la kawaida sababu kuu ikiwa shambulizi kubwa la...
Habari za wakati huu mabibi na mabwana.
Nawapa taarifa hii mapema ili mchukue tahadhari dhidi ya wizi wa kitapeli kupitia tigo pesa.
Namba hii 0658 13**39, itakupigia kama mtoa huduma wa tigo...
Kuna watu wanapata shida na foleni kila kukicha hapa Dar lakini hawa DART wametengenezewa barabara yao tu wala hakuna foleni wala sijui njia mbovu lakini kila siku wasafiri ni kulalamika tu huduma...
Mafundi wa DAWASCO Wilaya ya Temeke wamekuwa wakifika maeneo ambayo mambomba yamepasuka na kuondoka bila kuyafunga au kuyaziba mabomba yaliopasuka kwa wiki moja sasa na kuacha mabwawa makubwa...
Tumeanza July 2018 vibaya. NMB wamejinasua kwenye huduma ya Salary Advance waliyokuwa wakiitoa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo Mtumishi wa Umma alikuwa na uwezo wa kukopeshwa karibu 40 % ya take...
ABIRIA 45 waliokuwa wakisafiri kutoka Mbalizi mkoani Mbeya kwenda Udinde wilayani Songwe mkoani Songwe,wamenusurika kufa baada ya basi kampuni ya Mpepo walilokuwa wakipanda kutekwa na watu...
Nasikitika sana kuandika andiko hilo kwenye jukwaa hili lakini sina budi baada ya moyo wangu kukosa uvumilivu hasa kwa mambo yanayochefua na kuendelea chini ya jua, sio kwamba mimi ni mkamilifu...
Kwa ufupi
Wanaotuhumiwa kuiba kamera hizo ni vijana ambao walikuwa wanapewa mafunzo ya uandikishaji
By Faustine Fabian, Mwananchi
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) mkoani Simiyu imeibiwa...
*What is a Salary?*
*~~~~~~~~~~~~*
_Salary, is a specific amount of money that an employee is paid for work done._
_The big question is Which type do you earn?_
_1. *Onion Salary:* - You grab...
Najua kama ni mtumiaji wa usafiri wa ndege utakuwa umekutana na taratibu za abiria kuzima simu wakati ndege inataka kupaa na kutua ila huenda ikawa hufahamu ni kwanini haswa unatakiwa kufanya...
Kuna usemi usemao "MWISHO WA UBAYA NI AIBU" Naiona AIBU ikitamalaki ndani ya baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vimekuwepo kwa muda sasa vikijenga chuki, fitina, majungu na kila aina ya ubaya ndani...
Siku zote ukiwa na manguvu na uwezo wa kutenda chochote kwa mnyonge asiye na uwezo wa kukujibu huwa ni mbaya na matokeo yake wewe mbabe unaweza kujimaliza mwenyewe.
Kwa mtazamo wangu nikiangalia sisi Waafrika hatua tuliyopo ni nyuma sana ya Wazungu kutokana na ukarimu wetu. Kinachowafanya wao waeendelee ni kutokana na kuzingatia mambo ya msingi na kujali...
JOKATE KATIKA NGOMA YA WAPIGA ZUMARI
Na, Robert Heriel.
Uzuri wake usiomithilika ndio kinga yake dhidi ya maadui na wazandiki wasiompenda na kumtakia mema. Mapozi yake ya kilimbwende yalivunja...
Habari za Majukumu wakuu
Nina ndoto za kununua nyumba mjini Dar ila sio nyumb za NHC.Akiba nimeshaanza kuweka kabisa,naomba mwenye kujua tratibu za kisheria na zingine za kuzifuata nikitaka...
Hawa watu wa miliki wa hili gazeti wajirekebishe yaani kurasa 31 kati ya 56 zimejaa matangazo, mengi ni Taarifa za fedha za mabenki.
Ilianza polepole siku hizi imezidi sana karibia kila kurasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.