GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Naomba niwe wa Kwanza kuanza kukupa ' Pongezi ' zangu za dhati kabisa kwani najua very soon unaenda kutoka kuwa ' Mswahili ' wa Jangwani na kwenda kuwa ' Mtawala ' mstaarabu. Naamini sasa ile safari yako ya ' Kisiasa ' ndiyo imeanza na nakuomba huko utakapokuwa ' piga ' mzigo ili umsaidie vizuri ' Taita ' wa jirani na ' Mahakama ' kuu ya Samaki jijini Dar es Salaam.
Naomba nimalizie kwa kusema tena kuwa pongezi na hongera zako sana ' Kamarada ' Jerry Cornelius Muro.
Naomba nimalizie kwa kusema tena kuwa pongezi na hongera zako sana ' Kamarada ' Jerry Cornelius Muro.