Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 504
Hili limetokea kwenye nyumba mbili tatu maeneo ya Goba.
Vibaka wawili au hata 3 wanavizia saa 2 kamili ya usiku wanarukia ukuta na kuingia ndani ya nyumba. Kwa kawaida nyumba nyingi muda huo ni pilika za kuosha vyombo au watoto kwenda kuoga. Lazima mmoja wa mlango wa nyumba kubwa utakuwa wazi?
Wakishaingia ndani ya nyumba watatafuta sehemu ya kujificha iwe chini ya vitanda, makabatini, vyooni kwa nyumba zenye vyoo vingi au hata darini ule mlango wanaotumia mafundi umeme kuingia darini unahusika. Wezi hawa wata uchuna mpaka wenye nyumba mtakapolala halafu watafanya yao ikiwa ni kuondoka na gari, tv na mali zingine wanazozifahamu.
Kuna watu wameibiwa magari kwa style hii huku wakishtuka wanakuta geti wazi bila kujua wezi wameingiaje. Chukua tahadhari kila unapokuwa nyumbani lock milango yako yote ikiwezekana na geti.
Mimi ni muhanga wa vibaka aina . Nisaidie kushare

Last edited by a moderator: