Musa Hussein mtangazaji wa radio clouds FM acha kumuiga Sam Mahela mtangazaji wa I.T.V

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Kwenye kipindi cha tatu mzuka kinachorushwa live usiku huu capital TV, ITV na Clouds TV namuona anaiga swaga za Sam Mahela kuongea na hadi ile staili ya kukwepesha mikono hadi usimamaji studio naomba kumwambia aache atafute swaga yake ya kiutangazaji
 
Kwenye kipindi cha tatu mzuka kinachorushwa live usiku huu capital t.v na I.t.v na clouds t.v namuona anaiga swaga za sam mahela kuongea na hadi ile staili ya kukwepesha mikono hadi usimamaji studio naomba kumwambia aache atafute swaga yake ya kiutangazaji

Na Sam Mahela........aache kumuiga Salim Kikeke
 
Kwenye kipindi cha tatu mzuka kinachorushwa live usiku huu capital TV, ITV na Clouds TV namuona anaiga swaga za Sam Mahela kuongea na hadi ile staili ya kukwepesha mikono hadi usimamaji studio naomba kumwambia aache atafute swaga yake ya kiutangazaji
Kwani Musa na Sam Nani mkongwe kwenye utangazaji
 
sawa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom